Simba na Ubora wa Promotion za Media.

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Simba sc ndio team pekee ambayo kikosi chake ni cha bei ghali ukilinganisha na club zote zinazoshiriki VPL msimu huu, lkn pamoja na kuwa kikosi hicho ni ghali, sio kweli kwamba kina ubora zaidi kuliko club zingine zinazoshiriki League hiyo, Simba baada ya kukosa ubingwa kwa muda mrefu wamekuwa wabunifu wazuri wa propaganda na hiki ndicho kinachotokea ktk club hii baada ya kuviteka baadhi ya vyombo vya habari ili kuipigia promotion club kwa lengo la kurudisha imani iliyopotea muda mrefu kwa mashabiki wa club hiyo.
 
Wa matopeni fc nasikia wamekata rufaa wanamsaka mchezaji wa mbao mwenye kadi tatu za njano
 

Vyombo vya habari havipromote simba ila zinaweka mitego ya maneno na uongo kuifedhehesha simba. Hata maneno yanayosemekana ni kutoka kwa watu wa simba mengi yao ni uongo. Simba hai hitaji kurudisha imani kwa wapenzi kwa kutumia media, sababu technically huwezi kurudisha imani kwa wapenzi kwa kutumia maneno kwa sababu ukweli utaonekana kwenye mchezo. na usipo perform huwezi kuwapigisha kura ili kupata mtizamo wao kuhusu mpira wako kwa kutumia makala za magazeti, utatumia matokeo ya mchezo kama kigezo. Kihistoria, Simba haijawahi kujisifu kwa maneno yasiyo na link na performance ndiyo maana watakwambia tulikuwa wa kwanza kufanya hivi au hivi na facts wataweka. kwa mfano mpaka sasa simba imefunga magoli mengi zaidi, ndiyo ukweli. Haiwezi kusema tunaongoza ligi. Simba iko very objective usidanganyike na iyo bezo la kuwaita mbumbumbu sijui kwa nini Rage haja apologize mpaka sasa.

Hata haya matokeo ya mbao, technically yanaelezeka! na yanatatulika bora simba iwe focused.
 
Jana ilikuwa 1.3 Billion Vs 13 Million
Kama sio laana ni nini hii?
 
Jana ilikuwa 1.3 Billion Vs 13 Million
Kama sio laana ni nini hii?

May be ni laana lakini Everton na Gor Mahia ya Sports Pesa ni USD Ngapi Vs Ngapi

Mwaka sikumbuki: Young Africans Vs West Bromwich Albion walicheza Dar, wakatoka sare USD Ngapi Vs Ngapi

1972 au 1973 : Aston Villa Vs Simba Sports Club walicheza Dar, walitoka 1-1. USD Ngapi Vs Ngapi

Cameroun kina Roger Mila World Cup Vs Argentina USD Ngapi Vs Ngapi

SIMBA Vs SUPERSPORT, ZAMALEK etc. USD Ngapi Vs Ngapi

Soccer ndiyo ilivyo!
 
Hivi kumbe Simba inatakiwa kushinda mechi zote? Hiyo imewwzekana kwa timu gani duniani?

Zaidi ya yote, Mbao FC ime-prove kuwa timu ngumu kwa Simba na Yanga, sikumbuki ni timu gani kati ya hizo ziliziifunga Mbao kwenye mechi zote mbili msimu uliopita.

Vv
 
Angalau mmemwelewesha, kaelewa hiyo ndo soccer my brother.
 


Unataka kuhalalisha bangi kwa kisingizio kuwa ni dawa...πŸ˜€πŸ˜€
 
Unataka kuhalalisha bangi kwa kisingizio kuwa ni dawa...πŸ˜€πŸ˜€

Kama unafikiri pesa inaweza kuwa laana kwenye mpira kwa timu zinazo matter i.e simba/yanga etc., jaribu kukosa pesa.

niambie ziko wapi: African Sports, Coastal Union, Jogoo, Sunderland ya morogoro, African Wanderers, Pamba, Small Simba, Cosmopolitan, Nyota ya Mtwara.

Tuziombee hizi klabu zinazopendwa ziwe makampuni ya uhakika, tutafurahia mpira, vinginevyo tusahau.
 
Binafsi nadhani ni mapema sana kuanza kutoa utabiri wa UBORA wa kikosi ghali cha simba sports club kutokana na ligi kuwa ktk duru za mwanzo kbs... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ndio kwanza ligi kuu TANZANIA bara ipo ktk duru la nne mzunguko wa kwanza... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] tusubiri kuchanganya kwa ligi... Si unajua kuna baadhi ya clubs bado zina nguvu ya soda na hizi ni mbio ndefu.... Mwisho wa yote tutamjua mwenye pumzi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Tangu mbao FC wapande Daraja la kushiriki michuano ya ligi kuu TANZANIA bara, wamekutana na simba sports club mara nne.... Mara mbili ligi kuu msimu wa mwaka 2016/2017 mbao FC alifungwa mara mbili (home and away games) na fainali ya kombe la shirikisho mjini DODOMA.... Na mara ya nne ni kwenye ligi kuu TANZANIA bara msimu wa mwaka 2017/2018 ambapo mbao FC akiwa ccm kirumba alisuluhu dhidi ya simba sports club.... [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Gor Mahia in the middle of their league na Everton first preseason game. Note the difference Mheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…