TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Simba sc ndio team pekee ambayo kikosi chake ni cha bei ghali ukilinganisha na club zote zinazoshiriki VPL msimu huu, lkn pamoja na kuwa kikosi hicho ni ghali, sio kweli kwamba kina ubora zaidi kuliko club zingine zinazoshiriki League hiyo, Simba baada ya kukosa ubingwa kwa muda mrefu wamekuwa wabunifu wazuri wa propaganda na hiki ndicho kinachotokea ktk club hii baada ya kuviteka baadhi ya vyombo vya habari ili kuipigia promotion club kwa lengo la kurudisha imani iliyopotea muda mrefu kwa mashabiki wa club hiyo.