fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Simba imepigwa na Al Ahly, sasa ni wajibu wao kukaa chini na kufanya tathmini kwanini walipigwa.
Kwanza ni kujidanganya sana kuwa Simba inaweza kuifunga Al Ahly, timu yenye rekodi nzuri mno. Waarabu hao wanaizidi Simba kwa kila kitu, hivyo ni uzuzu kama sisi Watanzania tilitarajia kwa timu hii ya Simba ambayo ndio kwanza inajengwa eti tutaipiga Al Ahly
Tukifanya tathmini na kuifanyia kazi tathmini hiyo kwa miaka 10 ijayo tutakuwa na uwezo wa kushindana na timu za waarabu. Kwa sasa tutalaumu kocha, wachezaji au mfumo mbaya, lakini ukweli ni kwamba hatuna mpira wa kuwazidi waarabu
Sent using Jamii Forums mobile app