Simba na Yanga acheni kuwadanganya watu, Al Ahly na Mamelodi sio Manyema FC

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.

Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea kuyafanya, wengine juzi wamewatoa kafara ndugu zao wameshatangulia mbele ya haki ili tu matokeo yapatikane, hawa swaumu zao ni bure kabisa.

Ingawa naitakia kila heri Simba sports club lkn we should not take it for granted
 
Timu lako ndio bovu, mambo ya Yanga hayakuhusu.

Iache Yanga ije iwasuprise wajinga kama wewe na wachambuzi uchwara.
 
Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.

Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea kuyafanya, wengine juzi wamewatoa kafara ndugu zao wameshatangulia mbele ya haki ili tu matokeo yapatikane, hawa swaumu zao ni bure kabisa.

Ingawa naitakia kila heri Simba sports club lkn we should not take it for granted
POLE SANA, KUNYWA MAJI MOYO UELEE
 
Simba na Ahly wanajuana, lolote baya liyawafike Ahly.
ila kwa jirani sasa apajulikani kama watakula au watalala njaa.
 
Kitu nilichokigundua ni Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.

Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea kuyafanya, wengine juzi wamewatoa kafara ndugu zao wameshatangulia mbele ya haki ili tu matokeo yapatikane, hawa swaumu zao ni bure kabisa.

Ingawa naitakia kila heri Simba sports club lkn we should not take it for granted
Yanga hana muda wa kuroga

Ulozi ni kazi ya Simba
 
Ila Wabongo mna roho mbaya sana!

Mtu nimejiandaa kuweka 500,000 kwa mechi moja tu, nimpe Simba ushindi na nimuue Mwarabu. Kisha kesho yake nistake kiwango kama hicho nimuue Yanga mbele ya Mamelodi, halafu anatokea mjinga anaanza kuniyumbisha.

Mleta post acha kuniyumbisha, acha roho mbaya!
 
Back
Top Bottom