Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Timu lako ndio bovu, mambo ya Yanga hayakuhusu.Makelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.
Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea kuyafanya, wengine juzi wamewatoa kafara ndugu zao wameshatangulia mbele ya haki ili tu matokeo yapatikane, hawa swaumu zao ni bure kabisa.
Ingawa naitakia kila heri Simba sports club lkn we should not take it for granted
POLE SANA, KUNYWA MAJI MOYO UELEEMakelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.
Al Ahly na Mamelodi wameshaambiwa yote mnayoendelea kuyafanya, wengine juzi wamewatoa kafara ndugu zao wameshatangulia mbele ya haki ili tu matokeo yapatikane, hawa swaumu zao ni bure kabisa.
Ingawa naitakia kila heri Simba sports club lkn we should not take it for granted
Yanga hana muda wa kurogaMakelele meeengi lkn ukweli mnaujua, mikwara yote hiyo ni uongo wa mganga, huyu kaamua kuwekeza uchawi kwa Mudathiri na hawa wengine wako Zanzibar wana mipango yao, makelele yote hayo sio uwezo wa timu zao, ni mganga ndio anawapa matumaini.