Simba na Yanga chezeni mechi ya kuchangia Hanang

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga.

TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii.

Natoa hoja!
 
Ushauri Mzuri, ila kuna mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo Mkuu.

SERIKALI NDIO ANAPASWA KUMALIZA INSHU YA HANANG.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga.

TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii.

Natoa hoja!
Hapana huwa hazikutani hovyo...tunaweza kuchangia in other ways
 
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga.

TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii.

Natoa hoja!
Makolo yatakutukana.
 
Back
Top Bottom