kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Dec 11, 2023 #1 Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja!
Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja!
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Dec 11, 2023 #2 Bora uwaambie washindane kuchangia kati ya klabu hizo mbili. Kuchezesha mechi itasababisha mauaji ya kafala itakuwa issue juu ya issue Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Bora uwaambie washindane kuchangia kati ya klabu hizo mbili. Kuchezesha mechi itasababisha mauaji ya kafala itakuwa issue juu ya issue Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 11, 2023 #3 Ushauri Mzuri, ila kuna mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo Mkuu. SERIKALI NDIO ANAPASWA KUMALIZA INSHU YA HANANG. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ushauri Mzuri, ila kuna mambo mengine ni bora kuyaacha kama yalivyo Mkuu. SERIKALI NDIO ANAPASWA KUMALIZA INSHU YA HANANG. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Dec 11, 2023 #4 Unataka Mtu Apigwe Tena Nyingi.
David Harvey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,894 Reaction score 6,020 Dec 11, 2023 #5 Unawatakia nini simba lakini?🤔
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Dec 11, 2023 #6 kavulata said: Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja! Click to expand... Hapana huwa hazikutani hovyo...tunaweza kuchangia in other ways
kavulata said: Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja! Click to expand... Hapana huwa hazikutani hovyo...tunaweza kuchangia in other ways
M makwega7 JF-Expert Member Joined Mar 18, 2018 Posts 3,037 Reaction score 3,316 Dec 11, 2023 #7 kavulata said: Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja! Click to expand... Makolo yatakutukana.
kavulata said: Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja! Click to expand... Makolo yatakutukana.