Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
sisi tunaenda kucheza tukijua ni kama mechi ya mbeya kwanza au coastal union ,hatuna keleleHii Match mashabiki wa Simba ndo wamepooza.. obvious wanafahami kuwa kipigo kipo palepale.. Yanga hatuna presha Kwan hii ni mechi ndo tu kwetu kama tunacheza na Mbeya kwanza kushinda ni kama binadamu kuingia kaburini tu..
Hiii mechi tushaimaliza kipindi Cha kwanza tu then kipindi Cha pili tunawaonesha soka jinsi linavyochezwa