Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

Najua uto hamuamini timu lenu kama litafuzu kutoka makundi, basi kwa wivu wenu wa kikekike, huku mkijua wazi mnyama ataua mtu leo, mnaamua kushupaza shingo tu! Haya chagua jina kama simba atafuzu tukuite nani?
a) amisa viuno laini
b)athma tako mbinuko
c)utamu burebure
 
Utapigwa ban sasahivi
 
Tatizo lenu hata mkija kua na followers wengi mtakuja kufungia tu na YouTube mkiwa reported, yaani hamtengenezi content wenyewe!!

Mnachukua video za watu alafu man overide sauti, video ya nje ila nyi mnaweka kiswahili, sawa na Hawa watafsiri movie sijui, tafuta idea mtengeneze contents zenu

Anyway Kila la kheri kiongozi
 
Watu washakua na timu mbovu kiasi cha kula goli kumi mechi mbili na bdo wakatinga robo fainali. Mashindano ya caf sio ubora peke yake unaohitajika.
 
wewe
 
Acha ufala boya ww, ukipost mara moja inatosha
 
Kwa yanga upo sahihi ila Mnyama lazima aende robo
 
Kwa yanga upo sahihi ila Mnyama lazima aende robo
Timu zote mbili zina wachezaji na mabenchi ya ufundi ya kawaida sana. Hamasa pekee ndiyo siri ya mafanikio kwao.

Nje ya hapo, uwezekano kwa timu zote mbili kushindwa kufuzu hatua inayofuata, ni mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…