Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu sababu wote mnatumia uwanja mmoja

Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu sababu wote mnatumia uwanja mmoja

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua Simba na Yanga.

Ila yote kwa yote ni kwamba Simba na Yanga jengeni viwanja vyenu, mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
 
Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.

Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
 
Wana washabiki wengi sana wao hawajui kama ni mtaji wapo busy na viwanja vya Jiji ambao ni Timu ya juzi sema wana Elimu.
 
Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Yani kwenye hii kesi usipotumia hisia utawaelewa simba vizuri pasipo ma makandokando.
 
Ile ya kijani na njano imeshathibitishwa wenye akili timu nzima wawili.😀
Simba na yanga wote hawana akili mpaka mashabiki wao ukitaka ujue hawana akili soma hoja humu Kuna mijitu inatetea kabisa ishu ya mechi kutochezeka juzi yaani wanawatetea watu ambao hawana hasara sababu mechi ijayo wataweka viingilio na kuendelea kuwavuna aisee hii nchi mazuzu hayaishi
 
Timu za serikali hizo, simba au yanga zote uwezo wa kujenga viwanja wanao mzuri tu. Makampuni kibao yanaweza kudhamini hilo.

Wajenge viwanja na taifa nani atautumia?
 
Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.

Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Sio Kila kitu ni rahisi hivo
 
Sio Kila kitu ni rahisi hivo
Shida uwezo wako umeishia hapo.Kwani simba na yanga inawachama wangapi.
Unajua simba au yanga idadi ya wanachama namashabiki inawezakuwa kubwa kuliko chama chochote cha siasa mpaka tawala.
Embu fikiria kama ada na michango kila mwanachama itafanyiwa ipasavyo,embu tambua hizi timu zina wadhamini wengi mpaka ma benki na inawezakuwa kwenye hisa.
Mauzo ya bidhaa kama jezi na n.k
makusanyo ya michezo na matangazo .Bado ujaelewa
 
Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Yaani kati ya wote. Huyu ndio mwenye akili, na kajibia according to the situation. Wengine mliocoment hadi muda huu wapuuzi tu.
Hongera mkuu.
Sicomment cchte umemaliza
 
Shida uwezo wako umeishia hapo.Kwani simba na yanga inawachama wangapi.
Unajua simba au yanga idadi ya wanachama namashabiki inawezakuwa kubwa kuliko chama chochote cha siasa mpaka tawala.
Embu fikiria kama ada na michango kila mwanachama itafanyiwa ipasavyo,embu tambua hizi timu zina wadhamini wengi mpaka ma benki na inawezakuwa kwenye hisa.
Mauzo ya bidhaa kama jezi na n.k
makusanyo ya michezo na matangazo .Bado ujaelewa
Na ww hujanielewa napotaka uende,Mo dewji tupu anaweza akajenga kiwanja kikafanana hata na cha KMC complex bila Msaada WA wanachama ila sio Kila kitu ni rahisi hivo ....kuna vikwazo nyuma ya pazia
 
Back
Top Bottom