LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
akili za viongozi wa vilabu hivyo ni ndogo hawaoni umuhimu wa kujenga viwanja vyao. Kiongozi unatakiwa kuwa na ubunifu na maonoNajua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.