Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Vipi akili ya mangunguKwa Akili ya Hersi we umeona kuna uwanja Yanga watajenga?π
Bunju ipo,Yanga hata cha mazoezi hawana,Usiseme Jangwani paleVipi akili ya mangungu
Uwanja wa mazoezi hata ndanda wanao hapa tunaongelea kiwanja Cha mechi mzee akili umeiweka wapiπ€£π€£π€£π€£π€£Bunju ipo,Yanga hata cha mazoezi hawana,Usiseme Jangwani pale
Yani kwenye hii kesi usipotumia hisia utawaelewa simba vizuri pasipo ma makandokando.Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Hamna chochote simba wamekimbia mechi hapo hiyo mitimu ya kariakoo haijawahi kuwa na akiliYani kwenye hii kesi usipotumia hisia utawaelewa simba vizuri pasipo ma makandokando.
Ile ya kijani na njano imeshathibitishwa wenye akili timu nzima wawili.πHamna chochote simba wamekimbia mechi hapo hiyo mitimu ya kariakoo haijawahi kuwa na akili
Simba na yanga wote hawana akili mpaka mashabiki wao ukitaka ujue hawana akili soma hoja humu Kuna mijitu inatetea kabisa ishu ya mechi kutochezeka juzi yaani wanawatetea watu ambao hawana hasara sababu mechi ijayo wataweka viingilio na kuendelea kuwavuna aisee hii nchi mazuzu hayaishiIle ya kijani na njano imeshathibitishwa wenye akili timu nzima wawili.π
Sio Kila kitu ni rahisi hivoNajua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Shida uwezo wako umeishia hapo.Kwani simba na yanga inawachama wangapi.Sio Kila kitu ni rahisi hivo
Yaani kati ya wote. Huyu ndio mwenye akili, na kajibia according to the situation. Wengine mliocoment hadi muda huu wapuuzi tu.Hata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Huyo Hersi unaemdharau amekufunga mara ngapi? Matokeo yake juzi ukakimbia kabisa kuogopa kipigo kingine.Kwa Akili ya Hersi we umeona kuna uwanja Yanga watajenga?π
Na ww hujanielewa napotaka uende,Mo dewji tupu anaweza akajenga kiwanja kikafanana hata na cha KMC complex bila Msaada WA wanachama ila sio Kila kitu ni rahisi hivo ....kuna vikwazo nyuma ya paziaShida uwezo wako umeishia hapo.Kwani simba na yanga inawachama wangapi.
Unajua simba au yanga idadi ya wanachama namashabiki inawezakuwa kubwa kuliko chama chochote cha siasa mpaka tawala.
Embu fikiria kama ada na michango kila mwanachama itafanyiwa ipasavyo,embu tambua hizi timu zina wadhamini wengi mpaka ma benki na inawezakuwa kwenye hisa.
Mauzo ya bidhaa kama jezi na n.k
makusanyo ya michezo na matangazo .Bado ujaelewa