akili za viongozi wa vilabu hivyo ni ndogo hawaoni umuhimu wa kujenga viwanja vyao. Kiongozi unatakiwa kuwa na ubunifu na maonoNajua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Kwan Simba amekufunga Mara ngapiHuyo Hersi unaemdharau amekufunga mara ngapi? Matokeo yake juzi ukakimbia kabisa kuogopa kipigo kingine.
Kweli rage hakukosea kuwaita mbumbumbu na ubingwa kuchukua mpaka hersi atoke madarakani mtaendelea kubeba vumbi Kila mwaka Kwa akili hiziKwan Simba amekufunga Mara ngapi
Tatizo siyo uwanja ila ni kuto fuata kanuni tulizo jiwekea wenyewe kumbe wanasiasa Ndiyo wanaikwamisha TFF cha ajabu jamii imekaa kimyaa,Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Mkuu sina hakika kama unaufahamu sahihi kwanini hili sakata limetokeaNajua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Unajua maana IEEE.Mkuu sina hakika kama unaufahamu sahihi kwanini hili sakata limetokea
Issue sio umiliki wa kiwanja
Hamna Cha sakata Wala nini simba kakimbia mechiMkuu sina hakika kama unaufahamu sahihi kwanini hili sakata limetokea
Issue sio umiliki wa kiwanja
Mkuu kwamba solution ya sakata kama lililoikuta Simba na kupeleka mechi kuhairishwa ni timu kumiliki viwanja?..... kivipi?Unajua maana IEEE.
IEEE ni umoja wa vifaa na mifumo yote tunayotumia leo unaweza kutembea popote au kununua kifaa chochote bila kuathiliwa au kuona utofauti.
Sababu ya kuwekwa ili ni kwamba kila kitu kiwe sheria moja.
Unapokuwa na klabu kubwa kama hizi hazina uwanja yani kama umeshindwa kutafakari wakati wewe ni mpenzi wa lighi za ulaya au uwezi kujifunza maana ya clubs kuwa na uwanja wake.
Ulitaka apeleke timu uwanjani wakati wenye mpira wao wamhairisha mechi mkuu?Hamna Cha sakata Wala nini simba kakimbia mechi
Unacho shindwa kuelewa ni kwamba yanga angefanya mazoezi kwenye uwanja wake na simba pia .wangefika kwa mkapa ni kwa ajili ya mechi tu.Mkuu kwamba solution ya sakata kama lililoikuta Simba na kupeleka mechi kuhairishwa ni timu kumiliki viwanja?..... kivipi?
Usichanganye madesa mkuu
Kumiliki kiwanja ni jambo zuri sana lakini sakata hili halijasababishwa na umiliki wa kiwanja
Uzi ufungweHata wakijenga viwanja vyao, kanuni ipo pale pale, mgeni atafanya mazoezi siku moja kabla ya mechi.
Mkuu kumbe hujui hata KANUNI iliyozua sakata hiliUnacho shindwa kuelewa ni kwamba yanga angefanya mazoezi kwenye uwanja wake na simba pia .wangefika kwa mkapa ni kwa ajili ya mechi tu.
Hivi mbwa na paka kama unataka uwafanyishe mapigano kabla ya pambano utawaweka sehemu mmoja kabla ya pambano.
Simba baada ya kukimbia ndio mechi imeahairishwa au upo dunia Gani mzeeUlitaka apeleke timu uwanjani wakati wenye mpira wao wamhairisha mechi mkuu?
Kanuni Gani wewe simba kakimbia mechi baada ya kuona atapokea kipondo Cha 5 sisi sio mazuzu danganya mazuzu wenzioMkuu kumbe hujui hata KANUNI iliyozua sakata hili
Hata kama game ingekua inapigwa uwanja wa Jangwani kanuni inataka timu ya ugenini kwenda kufanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi siku moja kabla..... issue iko hapa
Kama ni mgeni wa game hizi ni kwamba makomandoo wa Yanga walifanya juu chini Simba isiingie kwa mkapa kwasababu tu wanaamini itaweka uchawi wao baada ya mazoezi
Hehehe!Vipi akili ya mangungu
Sasa kama MTU kwa mkapa hapewi Ruhusa wakiwa na viwanja vyao si ndo Itakua balaa?Najua kuna wachambuzi wengi hapa na wengine kwenye media wanavojua kuchambua simba na yanga.
Ila yote kwa yote ni kwamba simba na yanga jengeni viwanja vyenu mnatia aibu kwa club kongwe ambazo ikifika mnakutana kwa mkapa kila mtu anataka kutumia kiwanja kwa mambo yake.
Hehehe!!!Uwanja wa mazoezi hata ndanda wanao hapa tunaongelea kiwanja Cha mechi mzee akili umeiweka wapi🤣🤣🤣🤣🤣