Piga kitu cha nguvu!!View attachment 410115Nauliza tu jaman n nan aliye juu!!.,
Simbaaa hahahaView attachment 410115Nauliza tu jaman n nan aliye juu!!.,
Hakuna kitu kama hcho mjomba mama anajulikana bhnaMkuu mimi ni simba damu lakini kwa faida yako nataka nikueleweshe kwanini sio yanga na SIMBA, ni SIMBA na yanga, mfano yanga na azam zikicheza michezo sawa wakilingana kila kitu magoli droo point lazima wa kwanza atawekwa azam, maana yake katika herufi A-Z lazima uangalie je inaanza S auY ndio inaanzwa kutajwa
Pia usisahau Brothers and SistersNi sawa na kusema, LADIES and GENTLEMEN!
Always!
Tunasema Ladies n gentlemen pale tunapowapa wanawake haki sawa lkn kialfabeti anatangulia nani? Ni Gentleman SIMBA, Lady yanga alphabeti oda!Simba na Yanga ni sawa Ladies and gentleman huwez kusema gentleman and ladies hta sku moja
Maandiko yanasema aliumbwa Adamu kwanza kisha Eva(Hawa).Utakuwa umeelewa sasa.Ni sawa na kusema, LADIES and GENTLEMEN!
Always!
LADIES. AND. GENTLEMEN!MABIBI na MABWANA ...
Hakunaga mabwana na mabibi.
Hakuna asiyejua Adamu kwanza kisha Eva(hawa)LADIES. AND. GENTLEMEN!
Heshima kwenu wakuu,
Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.
Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.
Sipendi hili neno Simba na Yanga.