Simba na Yanga, kwanini sio Yanga na Simba?

Simba na Yanga, kwanini sio Yanga na Simba?

Mkuu mimi ni simba damu lakini kwa faida yako nataka nikueleweshe kwanini sio yanga na SIMBA, ni SIMBA na yanga, mfano yanga na azam zikicheza michezo sawa wakilingana kila kitu magoli droo point lazima wa kwanza atawekwa azam, maana yake katika herufi A-Z lazima uangalie je inaanza S auY ndio inaanzwa kutajwa
Hakuna kitu kama hcho mjomba mama anajulikana bhna
 
mechi ya leo ni Yanga na Simba Yanga yupo nyumbani.
mechi ijayo ni Simba na Yanga Simba itakuwa nyumbani.
Timu ya kushoto ipo nyumbani ya kulia ipo ugenini mara zote.
 
Simba na Yanga ni sawa Ladies and gentleman huwez kusema gentleman and ladies hta sku moja
Tunasema Ladies n gentlemen pale tunapowapa wanawake haki sawa lkn kialfabeti anatangulia nani? Ni Gentleman SIMBA, Lady yanga alphabeti oda!
 
Ibra paul tigo 20161001_123315.jpg
 
Heshima kwenu wakuu,

Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.

Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.

Sipendi hili neno Simba na Yanga.

Alphabetical order>>>>>>>>>>>>A, B,C, D, E, F, G, H, I, J, K, L, M, N, O, P, Q, R, S,T,U, V, W, X, Y, Z.
 
Wewe mtoa mada umesoma wapi na kuishia darasa la ngapi?! Wacha kuleta ushabiki
 
Back
Top Bottom