Simba na yanga mmenifurahisha mkiwezeshwa mnaweza

Simba na yanga mmenifurahisha mkiwezeshwa mnaweza

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapo wengi watashangaa hasa timu yangu ya yanga nini kimetokea wamecheza vizuri hivi

Kwa wasiojua vijana walipunguziwa madeni yao na ni bahati mbaya tu awakushinda lakini walikuwa wawe na week mbashara .Kama wangeshinda

Nilichokiona Botswana nikakikuta Uarabuni vijana wa simba waliondoka na ahadi lukuki sitakuwa na fadhila mtani amecheza bana

Mtani kapambana kwa mpira ule na yanga yangu ya leoo hali ingekuwa tete mapemaa

Mwisho nashauri uongozi hawa nao ni binadamu, kama mnauwezo wa kuchangisha na kulipa madeni hizo motishaa walipeni kuanzia mechi za nyumbani
 
Kweli kabisa kosa huwa ni la viongozi hadi wachezaji waharibu ndio walipwe pesa
 
Yanga na Simba. Mmhh! Janja mingi.
Zibinafsisheni zijiendeshe kibiashara.Mnakumbatia wandengereko hawana mapene.Simba mpeni Mo Yanga mpeni Manji
 
Tunaishia kupongeza ujinga kila mwaka
Mbona hata vilabu vya ulaya vingi tu vinatolewa kila mwaka,ulishawahi kuona mashabiki wakiongea ujinga uliouongea wewe?ipo siku isiyo na jina watanzania watafurahi kwa hawahawa yanga au simba,umesahau Leicester walisubiri muda gani kuwapa raha mashabiki wao?
 
Msameheee
 
Mpira wa magazeti tena mbaya zaidi magazeti ya udaku ndio unavyoishia hivyo!
 
Yanga na Simba. Mmhh! Janja mingi.
Zibinafsisheni zijiendeshe kibiashara.Mnakumbatia wandengereko hawana mapene.Simba mpeni Mo Yanga mpeni Manji
Manji kashalala mbele, hata huyo Mo utakuja kuniambia...
Muhindi na mpira wapi na wapi
 
Siku nyingine andika vizuri unaandikaje kwa herufi kubwa tupu inakeraaa
 
Manji kashalala mbele, hata huyo Mo utakuja kuniambia...
Muhindi na mpira wapi na wapi
Manji mmemwambia atulize mzuka. Wapeni hao Wahindi kuliko waswahili janja mingi.
 
Back
Top Bottom