Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wapo wengi watashangaa hasa timu yangu ya yanga nini kimetokea wamecheza vizuri hivi
Kwa wasiojua vijana walipunguziwa madeni yao na ni bahati mbaya tu awakushinda lakini walikuwa wawe na week mbashara .Kama wangeshinda
Nilichokiona Botswana nikakikuta Uarabuni vijana wa simba waliondoka na ahadi lukuki sitakuwa na fadhila mtani amecheza bana
Mtani kapambana kwa mpira ule na yanga yangu ya leoo hali ingekuwa tete mapemaa
Mwisho nashauri uongozi hawa nao ni binadamu, kama mnauwezo wa kuchangisha na kulipa madeni hizo motishaa walipeni kuanzia mechi za nyumbani