Mbona hata vilabu vya ulaya vingi tu vinatolewa kila mwaka,ulishawahi kuona mashabiki wakiongea ujinga uliouongea wewe?ipo siku isiyo na jina watanzania watafurahi kwa hawahawa yanga au simba,umesahau Leicester walisubiri muda gani kuwapa raha mashabiki wao?Tunaishia kupongeza ujinga kila mwaka
MsameheeeMbona hata vilabu vya ulaya vingi tu vinatolewa kila mwaka,ulishawahi kuona mashabiki wakiongea ujinga uliouongea wewe?ipo siku isiyo na jina watanzania watafurahi kwa hawahawa yanga au simba,umesahau Leicester walisubiri muda gani kuwapa raha mashabiki wao?
Manji kashalala mbele, hata huyo Mo utakuja kuniambia...Yanga na Simba. Mmhh! Janja mingi.
Zibinafsisheni zijiendeshe kibiashara.Mnakumbatia wandengereko hawana mapene.Simba mpeni Mo Yanga mpeni Manji
Manji mmemwambia atulize mzuka. Wapeni hao Wahindi kuliko waswahili janja mingi.Manji kashalala mbele, hata huyo Mo utakuja kuniambia...
Muhindi na mpira wapi na wapi