Mko sawa, ila tunawashauri mjitahidi kupambana hivyo hivyo hata kwenye ligi kuu na shirikisho huko Caf ili tuwapongezeKuna ubaya ndiyo tumechagua kuwa ivyo
Simba na yanga zinadumaza soka la Tanganyika.Kila nikisia maneno ya wachambuzi na mashabiki ooh AZAM inakamia game zetu kwani kukamiwa ni dhambi?
Mnataka muachiwe tu muifunge Azam itakuwa ni ipi maana ya competition?
Acheni kulalamika chezeni mpira
NALEO TUNAMKAMIA MTU ADI ALALAMIKE TENA