Simba na Yanga mnapenda kitonga mno kukamiwa na Azam kuna ubaya?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kila nikisia maneno ya wachambuzi na mashabiki ooh AZAM inakamia game zetu kwani kukamiwa ni dhambi?

Mnataka muachiwe tu muifunge Azam itakuwa ni ipi maana ya competition?

Acheni kulalamika chezeni mpira

NALEO TUNAMKAMIA MTU ADI ALALAMIKE TENA
 
Nguvu mnayotumia kucheza na Simba na Yanga mngekuwa mnaitumia kote mngekuwa mabingwa
 
Kuna ubaya ndiyo tumechagua kuwa ivyo
 
Kuna ubaya ndiyo tumechagua kuwa ivyo
Mko sawa, ila tunawashauri mjitahidi kupambana hivyo hivyo hata kwenye ligi kuu na shirikisho huko Caf ili tuwapongeze
 
Sie game zetu ni mbili tu
 
Kila nikisia maneno ya wachambuzi na mashabiki ooh AZAM inakamia game zetu kwani kukamiwa ni dhambi?

Mnataka muachiwe tu muifunge Azam itakuwa ni ipi maana ya competition?

Acheni kulalamika chezeni mpira

NALEO TUNAMKAMIA MTU ADI ALALAMIKE TENA
Simba na yanga zinadumaza soka la Tanganyika.
Wanapenda mtelezo ndio maana mechi huchezwa kabla ya kuingia uwanjani
 
Back
Top Bottom