Kwa maslahi mapana ya soka letu ni vema kukaandaliwa kanuni itakayozui timu zetu hizi kutokuifunga timu mojawapo zaidi ya mara tano mfululizo.
Kutokana na ukubwa wa hizi timu hakika zimebeba idadi kubwa sana ya mashabiki.
Sio jambo jema kukuta kuna shabiki analia na kukosa furaha kwa zaidi ya miaka mitano mfululizo.
Msimu huu mpya TFF na bodi ya ligi hakikisheni Simba anaifungal Yanga ili kurejesha furaha Simba