Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena. Ni kupokezana kijiti
Kushabikia hizi timu kuna raha sana hasa mtani wako akifungwa furaha inazidi kua maradufu. Juzi Simba walikua wanalia leo wanacheka huku Yanga wakilia na si ajabu leo jioni Yanga wakacheka tena. Ni kupokezana kijiti View attachment 1324824