Yanga haishiriki AFLNimefatilia mashindano ya AFL ambayo kimsingi yanahusisha team ngumu zaidi za Africa. ...Kwa msimu huu natabiri Yanga itafika final na huenda ikachukua kombe kabisa
Simba amefika mwisho, uwezo wa timu zetu kwa sasa ni robo fainali huku AFL na CAF CL.Nimemaanisha kombe la Cafcl sio AFL huku Simba akikomaa anafika mbali
Ni kawaida sana timu kubwa kufungwa na timu ndogo na dhaifuYanga hii ya iefu
Simba walizingua sana kwenye sajili na team inaonekana kama inaathiriwa na siasa za club ila nje ya hapo mbona wangekaza wanatoboa vemaSimba amefika mwisho, uwezo wa timu zetu kwa sasa ni robo fainali huku AFL na CAF CL.
Kuziondoa zile timu 3 za waarabu kwenye mtoano ni ngumu sana, utatolewa hata kwa figisu ukiwa away.
ndio hii,iliyompiga kipa wetu wa Ihefu na makopo😂😅Yanga hii ya iefu
Timu hazijafikia uwekezaji wa kuvuka robo fainali, wakiongeza fedha za kusajili vikosi bora zaidi wataweza kufika level za Ahly, Mamelod, Wydad na Esperance kuanzia msimu ujao ila mwaka huu hakuna timu itavuka robo fainali ya AFL au CAF CL.Simba walizingua sana kwenye sajili na team inaonekana kama inaathiriwa na siasa za club ila nje ya hapo mbona wangekaza wanatoboa vema
Team zote huwa zinafungwa hata Simba ana mbabe wake hapo Azamndio hii,iliyompiga kipa wetu wa Ihefu na makopo[emoji23][emoji28]
[emoji116]
View attachment 2789634
sawa lakini ndo na Ihefu?Team zote huwa zinafungwa hata Simba ana mbabe wake hapo Azam