Simba na Yanga ubingwa ni wao

Simba na Yanga ubingwa ni wao

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Nimefatilia mashindano ya AFL ambayo kimsingi yanahusisha team ngumu zaidi za Africa. Katika kuangalia kwangu naona kiwango Cha Yanga na Simba kwa hivi Sasa wanaweza kucheza na team yoyote Ile na kupata matokeo.

Kwa msimu huu natabiri Yanga itafika final na huenda ikachukua kombe kabisa la Cafcl sema mambo madogo madogo yarekebishwe hasa kwenye Psychology ya wachezaji mahusiano ya kocha na wachezaji n.k

Tanzania imeamka na Sasa inakwenda kuiteka Afrika tushike hapahapa tusiachie

Michezo mashuleni iimarishwe zaidi
 
Ariiiiiiiiiuuuuuuushuuuua........? [emoji848]
Very sure wanahitaji TU Psychology nzuri na hamasa ila mpira unakuja Tanzania tukitumia nafasi vizuri tutakuwa kitalu Cha mpira afrika
 
Nimemaanisha kombe la Cafcl sio AFL huku Simba akikomaa anafika mbali
Simba amefika mwisho, uwezo wa timu zetu kwa sasa ni robo fainali huku AFL na CAF CL.

Kuziondoa zile timu 3 za waarabu kwenye mtoano ni ngumu sana, utatolewa hata kwa figisu ukiwa away.
 
Simba amefika mwisho, uwezo wa timu zetu kwa sasa ni robo fainali huku AFL na CAF CL.

Kuziondoa zile timu 3 za waarabu kwenye mtoano ni ngumu sana, utatolewa hata kwa figisu ukiwa away.
Simba walizingua sana kwenye sajili na team inaonekana kama inaathiriwa na siasa za club ila nje ya hapo mbona wangekaza wanatoboa vema
 
Yanga hii ya iefu
ndio hii,iliyompiga kipa wetu wa Ihefu na makopo😂😅
👇
images (4).jpeg
 
Simba walizingua sana kwenye sajili na team inaonekana kama inaathiriwa na siasa za club ila nje ya hapo mbona wangekaza wanatoboa vema
Timu hazijafikia uwekezaji wa kuvuka robo fainali, wakiongeza fedha za kusajili vikosi bora zaidi wataweza kufika level za Ahly, Mamelod, Wydad na Esperance kuanzia msimu ujao ila mwaka huu hakuna timu itavuka robo fainali ya AFL au CAF CL.
 
Robo tutavuka nusu ndio itakuwa shida ila robo tunavuka
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Soka linakua kwa Kasi Tz,afu raia wanapenda soka balaaa.....mpaka vijijini huko na rea walivyowasha! Sema serikali Haina mipango makini, wafungue Academy kubwaa Kada ya Ziwa mijamaa mirefu sana Kule na Mbeya.....Arusha sema bangi Kule atawaache.
 
Back
Top Bottom