uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 22, 2023 Thread starter #21 Sultan MackJoe Khalifa said: sawa lakini ndo na Ihefu? Click to expand... Ndio ilitokea hakuna namna
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Oct 22, 2023 Thread starter #22 Nzagambaaa said: Soka linakua kwa Kasi Tz,afu raia wanapenda soka balaaa.....mpaka vijijini huko na rea walivyowasha! Sema serikali Haina mipango makini, wafungue Academy kubwaa Kada ya Ziwa mijamaa mirefu sana Kule na Mbeya.....Arusha sema bangi Kule atawaache. Click to expand... Mipango ya serikali ni dhaifu wanapaswa kuamka zaidi hasa kwenye viwanja ,shule za michezo,n.k
Nzagambaaa said: Soka linakua kwa Kasi Tz,afu raia wanapenda soka balaaa.....mpaka vijijini huko na rea walivyowasha! Sema serikali Haina mipango makini, wafungue Academy kubwaa Kada ya Ziwa mijamaa mirefu sana Kule na Mbeya.....Arusha sema bangi Kule atawaache. Click to expand... Mipango ya serikali ni dhaifu wanapaswa kuamka zaidi hasa kwenye viwanja ,shule za michezo,n.k