Simba na Yanga ubingwa ni wao

Simba na Yanga ubingwa ni wao

Soka linakua kwa Kasi Tz,afu raia wanapenda soka balaaa.....mpaka vijijini huko na rea walivyowasha! Sema serikali Haina mipango makini, wafungue Academy kubwaa Kada ya Ziwa mijamaa mirefu sana Kule na Mbeya.....Arusha sema bangi Kule atawaache.
Mipango ya serikali ni dhaifu wanapaswa kuamka zaidi hasa kwenye viwanja ,shule za michezo,n.k
 
Back
Top Bottom