Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Kitu hichoooo

Simba 1
Yanga 0

Dakika ya 26 Musa Mgosi kawakandamiza kitu!
 
nyie ni waongo kuhusu hiyo ball position.......magoli yako wapi sasa kitu kama hiyo haipo
 
Phiri anafaaa kuchukua Mikoba ya Maximo
 
nyie ni waongo kuhusu hiyo ball position.......magoli yako wapi sasa kitu kama hiyo haipo
Hahahaha, mbona umekaa kama wewe Yanga vile?

Ball Possession kwa Tz tunapima kwa macho tu, Yanga wameelemewa ile mbaya. Labda tusubiri kipindi cha pili... Simba wakaliiiiii!
 
Simba wanabebwa, hamna lolote.
 
Hahahaha, mbona umekaa kama wewe Yanga vile?

Ball Possession kwa Tz tunapima kwa macho tu, Yanga wameelemewa ile mbaya. Labda tusubiri kipindi cha pili... Simba wakaliiiiii!
nitake radhi bana huwezi kunifananisha na chama la mkulu na manji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…