Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe upo?Bado 2 ziwe na bado Yanga mtakoma
Mkuu kumbe upo?
Leo Yanga wetu hawa, mpaka wajute kucheza nasi mwaka huu
Ball Possesion Simba 80 Yanga 20
Ebana kuna kijana anaitwa Okwi anawatesa sana Yanga... Kazi kwelikweliLast 5 minutes ball possession Simba 99% Yanga 1%
Hahahaha, mbona umekaa kama wewe Yanga vile?nyie ni waongo kuhusu hiyo ball position.......magoli yako wapi sasa kitu kama hiyo haipo
Phiri anafaaa kuchukua Mikoba ya Maximo
Hahahahaha!Phiri anafaa kumrithi Ferguson akistaafu
nitake radhi bana huwezi kunifananisha na chama la mkulu na manjiHahahaha, mbona umekaa kama wewe Yanga vile?
Ball Possession kwa Tz tunapima kwa macho tu, Yanga wameelemewa ile mbaya. Labda tusubiri kipindi cha pili... Simba wakaliiiiii!
Hahahahaha!
Hii kali ya mwaka...