huu Mnyama lazima aweke rekodi ya dunia kwa kumaliza ligi kwa kushinda michezo yote.
Mwimbishaji;
Iyoooo eheeeeh, iyo mwenye wivu
Kiitikio;
mwenye wivu ajinyonge
Mwongozaji
Chambua kandambili kama karanga
Kiitikio
chambua kama karanga....
Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....
Oden Mbaga arudishe walau chenji basi kwa Manji. Mjinga sana huyu Mbaga uktaka kuwabeba kanda2 wape penati au goli la offside. Simba hata wakiwa 7 uwanjani hawafungwi na Yanga.
Ama kweli kunguru hafugiki!
Hebu wataalam wa mambo ya soka hususan la kibongo mtupatie uchambuzi japo kinadharia. Matokeo haya yanaweza kuwa yanamaanisha nini, matharani katika suala la usajiri wa wachezaji wazalendo na wa kutoka nje, wachezaji wenye umri mdogo na wakubwa, kocha mzalendo/at least mswahili na kutoka ughaibuni. takwimu za jinsi timu zilivyopangwa leo zizingatiwe.
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....
Kaka Unauliza Ndevu Afghasta?
shhhhhhh... kuna jamaa anaitwa gangchoma tumsubiri aje kuachia ushuzi baada ya kufungwa
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....
Jamaa alikuwa anapiga hesabu za ubunge Kibaha alijuajua akishinda rating zitakuwa juu. Masikini Imani Mahugila Madega ndo kajiharibia kabisaWapenzi wengi wa Yanga walikuwa wanafikiria madega asingepeleka Timu Machinjioni, Sikio la Kufa halisikii dawa
Oden Mbaga arudishe walau chenji basi kwa Manji. Mjinga sana huyu Mbaga uktaka kuwabeba kanda2 wape penati au goli la offside. Simba hata wakiwa 7 uwanjani hawafungwi na Yanga.
Ama kweli kunguru hafugiki!
Fulham wanawapeleka taratibu baba,mshadungwa kimoja tayari
Kilichobaki mkapigeni mikwaju Jangwani sasa