Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Simba na Yanga uwanja wa Taifa

huu Mnyama lazima aweke rekodi ya dunia kwa kumaliza ligi kwa kushinda michezo yote.
Mwimbishaji;
Iyoooo eheeeeh, iyo mwenye wivu
Kiitikio;
mwenye wivu ajinyonge
Mwongozaji
Chambua kandambili kama karanga
Kiitikio
chambua kama karanga....

Kaka leo kitufe cha Thanks kinakuja kama Mgao wa Umeme

I say Thaks to you
 
Ha ha haa! Yaani Mechi 22 Points 66, hilo haliwezekani kaka kama kamati ya Rufaa inaongozwa na Tibaigana
 
Inabidi Phiri aandae Semina kwa Makocha wote akiwamo Makchimo ili timu zote zicheze kama Simba, Chama cha makocha andaeni FUTURO Phiri aje Kutoa Darsa Bure😀😀
 
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....
 
Hebu wataalam wa mambo ya soka hususan la kibongo mtupatie uchambuzi japo kinadharia. Matokeo haya yanaweza kuwa yanamaanisha nini, matharani katika suala la usajiri wa wachezaji wazalendo na wa kutoka nje, wachezaji wenye umri mdogo na wakubwa, kocha mzalendo/at least mswahili na kutoka ughaibuni. takwimu za jinsi timu zilivyopangwa leo zizingatiwe.
 
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....

Wapenzi wengi wa Yanga walikuwa wanafikiria madega asingepeleka Timu Machinjioni, Sikio la Kufa halisikii dawa
 
Oden Mbaga arudishe walau chenji basi kwa Manji. Mjinga sana huyu Mbaga uktaka kuwabeba kanda2 wape penati au goli la offside. Simba hata wakiwa 7 uwanjani hawafungwi na Yanga.

Ama kweli kunguru hafugiki!

Furaha iliyoje Simba yenye wachezaji kumi imemfunga yeboyebo mwenye wachezaji kumi na mbili.
 
Hebu wataalam wa mambo ya soka hususan la kibongo mtupatie uchambuzi japo kinadharia. Matokeo haya yanaweza kuwa yanamaanisha nini, matharani katika suala la usajiri wa wachezaji wazalendo na wa kutoka nje, wachezaji wenye umri mdogo na wakubwa, kocha mzalendo/at least mswahili na kutoka ughaibuni. takwimu za jinsi timu zilivyopangwa leo zizingatiwe.

Kaka Unauliza Ndevu Afghanistan?
 
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....

si aliambiwa na wachawi wake kwamba leo eti ngoma drooo!~!!!??

Uchawi kwenye soka ni ushenzi kwenye soka!!!!!!!
 
wenye wivu wajinyongeeee..hahaaaa Simba wamepiga mpira wa kiwango cha juu sana..Big up phiri..wewe ni kocha wa ukweli maximo aje umpe notes
 
Bora Madega asingepeleka timu uwanjani kama kawaida yake. Wakati mwingine heri ya nusu shari.....

Wapenzi wengi wa Yanga walikuwa wanafikiria madega asingepeleka Timu Machinjioni, Sikio la Kufa halisikii dawa
Jamaa alikuwa anapiga hesabu za ubunge Kibaha alijuajua akishinda rating zitakuwa juu. Masikini Imani Mahugila Madega ndo kajiharibia kabisa
 
Oden Mbaga arudishe walau chenji basi kwa Manji. Mjinga sana huyu Mbaga uktaka kuwabeba kanda2 wape penati au goli la offside. Simba hata wakiwa 7 uwanjani hawafungwi na Yanga.

Ama kweli kunguru hafugiki!

Job done! Kamtoa mtu red card na imesaidia kupunguza aibu ya kufungwa mengi.
 
Fulham wanawapeleka taratibu baba,mshadungwa kimoja tayari

haoa ni yanga na simba......... nakumbuka kuna siku ulinifukuza kule arsenal, sitafanya hivyo kwani hapa ni simba na yanga [tusharudisha TORRES!!]

Tuongee simba na Yanga!!!

Simba moja yanga bila haaahaaaaaaaaaaaaaaaaa😛😛
 
Hivi kale ka-teenager GANGCHOMBA kako wapi?? au kananyonya???

Domo kubwa biskuti hakunji na mabao yanapitia hapohapo... ni mwanahistoria maarufu!!!
 
Yanga ina laana ya Roul Shungu. Shungu aliifundisha Yanga mpaka ika-qualify kwenye kombe la klabu bingwa, Afrika. Lakini vizee vya Yanga vilimfukuza Shungu kwa madai eti hana jipya la kuleta jangwani. Yanga aitaenda mbali ktk mashindano ya Afrika mpaka watubie dhambi yao!
 
Back
Top Bottom