Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Hivi kale ka-teenager GANGCHOMBA kako wapi?? au kananyonya???
Domo kubwa biskuti hakunji na mabao yanapitia hapohapo... ni mwanahistoria maarufu!!!
Yanga ina laana ya Roul Shungu. Shungu aliifundisha Yanga mpaka ika-qualify kwenye kombe la klabu bingwa, Afrika. Lakini vizee vya Yanga vilimfukuza Shungu kwa madai eti hana jipya la kuleta jangwani. Yanga aitaenda mbali ktk mashindano ya Afrika mpaka watubie dhambi yao!
Laana za makocha wengi, Yanga Dhulmat mtindo mmoja, Nzoysaba (RIP) amekufa anawadai Pesa leo hii Kondic mnataka kumdhulum haki yake, Itafuteni Familia ya mliowadhumu kuanzia akina nzoysaba mpaka Shungu la sivyo Laana itawaandama
Ball Possesion Simba 80 Yanga 20
Hawa jamaa watuachie timu yetu haiwezekani kila siku tunafungwaNi MANJI na mpambe wake Madega ndiyo wanatuharibia Yanga yetu
natamani nikutanacho sijui kitakuwa kimelazwa kwa presha wapo wengi:https://www.jamiiforums.com/members/fidel80.htmlFidel80,Belo nae kwa imani hajambo eti "Leo tumewazidi Simba uchawi hakuna mvua ,wakipona droo" nae GANG CHOMBA msome hapa na historia zake: https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-and-games/42416-simba-vs-yanga-kesho-tujadili-6.htmlHivi kale ka-teenager GANG CHOMBA kako wapi?? au kananyonya???
Domo kubwa biskuti hakunji na mabao yanapitia hapohapo... ni mwanahistoria maarufu!!!
Hebu wataalam wa mambo ya soka hususan la kibongo mtupatie uchambuzi japo kinadharia. Matokeo haya yanaweza kuwa yanamaanisha nini, matharani katika suala la usajiri wa wachezaji wazalendo na wa kutoka nje, wachezaji wenye umri mdogo na wakubwa, kocha mzalendo/at least mswahili na kutoka ughaibuni. takwimu za jinsi timu zilivyopangwa leo zizingatiwe.
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala
natamani nikutanacho sijui kitakuwa kimelazwa kwa presha wapo wengi:Fidel80,Belo nae kwa imani hajambo eti "Leo tumewazidi Simba uchawi hakuna mvua ,wakipona droo" nae GANG CHOMBA msome hapa na historia zake: https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-and-games/42416-simba-vs-yanga-kesho-tujadili-6.html
Ila nilimuonya Masanilo toka Ijumaa kuwa haisende uwanjani maana ataenda kuvuna fedheha mbele ya wanaJF kama vile Pretty na wengineo ambao walikuwa na jezi nyekundu za kutosha. Ila nasikia baada ya game Masanilo alipanda ndege kuelekea Zanzibar kujipoza machungu ya kichapo. Sasa sijui kama Bibie naye ni kada wa timu gani?Hahaha! Wapwa Fidel na Masanilo walimalizia hasira zao kwenye Ndovu na heinneken ya mtungi! Lol! Mnyama bana!