Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Daaa leoraha tupu..yaani.....ha!haha!ha! kiendamamtoni....gunners wanafanya ze nidifu....kija bongo mambo tambarare...Patrick Phiri nadondosha raha....jamaani leo week end tamu....!

Homeboy Fidel pole...nilikuonya mapema...twitwitwiwiiii!
 
Hivi kale ka-teenager GANGCHOMBA kako wapi?? au kananyonya???

Domo kubwa biskuti hakunji na mabao yanapitia hapohapo... ni mwanahistoria maarufu!!!

ON HIS WAY TO MATURITY! Ha ha ha Just a joke, Nadhani ameona Mwenyewe Soka ya Kitabuni, Kilichobaki waangalie tu Prison wasije wakavua Ubingwa bado Round ya Kwanza
 
Yanga ina laana ya Roul Shungu. Shungu aliifundisha Yanga mpaka ika-qualify kwenye kombe la klabu bingwa, Afrika. Lakini vizee vya Yanga vilimfukuza Shungu kwa madai eti hana jipya la kuleta jangwani. Yanga aitaenda mbali ktk mashindano ya Afrika mpaka watubie dhambi yao!

Laana za makocha wengi, Yanga Dhulmat mtindo mmoja, Nzoysaba (RIP) amekufa anawadai Pesa leo hii Kondic mnataka kumdhulum haki yake, Itafuteni Familia ya mliowadhumu kuanzia akina nzoysaba mpaka Shungu la sivyo Laana itawaandama
 
Laana za makocha wengi, Yanga Dhulmat mtindo mmoja, Nzoysaba (RIP) amekufa anawadai Pesa leo hii Kondic mnataka kumdhulum haki yake, Itafuteni Familia ya mliowadhumu kuanzia akina nzoysaba mpaka Shungu la sivyo Laana itawaandama

Umenena! Tambwe Leya kafa anawadai Yanga, hawa Yanga wana laani ya Al Marhum Sharifu Shahani wa Lindi aliwalaani walipo muadhiri sana kanda2 hawa.
 
Ha!ha!ha!ha!ha!...nasikia na Mwamba Kizota(RIP) naye wakati anapata ajalialikuwa anawadai..........?
 
Refa wa leo Oden Mbaga anawadai. Kumbe "mzigo" walimpa nusu tu
 
Simba 1-0 Yanga. Mgosi dakika ya 26. pointi tatu muhimu
 
Simba Taifa kubwa kidedea yeeyeyeye kidedea, kidedea kidedeaaaa!!!!
 
Hivi kale ka-teenager GANG CHOMBA kako wapi?? au kananyonya???

Domo kubwa biskuti hakunji na mabao yanapitia hapohapo... ni mwanahistoria maarufu!!!
natamani nikutanacho sijui kitakuwa kimelazwa kwa presha wapo wengi:https://www.jamiiforums.com/members/fidel80.htmlFidel80,Belo nae kwa imani hajambo eti "Leo tumewazidi Simba uchawi hakuna mvua ,wakipona droo" nae GANG CHOMBA msome hapa na historia zake: https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-and-games/42416-simba-vs-yanga-kesho-tujadili-6.html
 
Hebu wataalam wa mambo ya soka hususan la kibongo mtupatie uchambuzi japo kinadharia. Matokeo haya yanaweza kuwa yanamaanisha nini, matharani katika suala la usajiri wa wachezaji wazalendo na wa kutoka nje, wachezaji wenye umri mdogo na wakubwa, kocha mzalendo/at least mswahili na kutoka ughaibuni. takwimu za jinsi timu zilivyopangwa leo zizingatiwe.


Tangu mwanzo wa msimu Simba ilikuwa na program kamili ya mazoezi kujiandaa kwa ligi. Imeendelea na maandalizi mazuri kwa ajili ya michezo yote. Ni timu yenye kocha anayejua nini anafanya. Usajili wa wachezaji Simba ulizingatia nafasi za wachezaji na sio majina kama ilivyofanya Yanga. Hii imewasaidia sana ndio maana hata mchezaji mmoja muhimu akikosekana kwa sababu yoyote ile pengo linazibwa vizuri. Kwa mfano kutokuwepo kwa Haruna Moshi hakujaleta athari yoyote katika kikosi cha Simba. Angalia hata wakati ule walipoumia Dan Mrwanda na Joseph Owino Simba iliendelea kushinda. Yanga ina idadi kubwa ya wachezaji wa kigeni (10) huku wakijua kwamba wanatakiwa kuwatumia wasiozidi watano katika mechi moja. Inaonyesha jinsi ambavyo walikuwa hawajui wanachofanya. Wachezaji hao wanalipwa fedha nyingi bila kuwa na msaada wowote kwenye timu. Ni tofauti na Simba ambao wamesajii wachezaji watatu wa kigeni - Beki (Joseph Owino), kiungo (Hillary Echesa) na mshambuliaji (Emmanuel Okwi), ambao wote wanawatumia kikamilifu na mchango wao unaonekana.
 
Homeboy Fidel.....kapotelea uwanja wa taifa jana.....anatafutwa na shemeji, hajaonekana tangia alipoaga anaenda U/taifa......please atakaye muona gonga 911! Ha!Ha!ha!ha!
 
Inawezeka kwani maamuzi yake yalikuwa tata sana???????????? Manji anaua soka la Tz.ikiliza cloud extra michozo sasa wanatathimi mchezo wa jana-kitaalam kabisa.
Hongera sana wachezaji.makocha,viongozi na wapenzi wote wa simba kwani tuliwafunika kabisa yanga kwa mbwembwe zote -tukiongwozwa na mzungu mmoja anayejulikana kama tko mb-ndio alileta bendera kubwa sana pale uwanjani.
Kivutio ilikuwa kila kaseja akifanya vizuri wanazi tunashangilia maximooo????
mdau Ipinda lusungo kyela
S
 
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala
 
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala

Welcome to the world. Maumivu ya kichwa inaonekana yamepungua dogo. Je siri yake ni panadol, hedex au dakika tatu?
 
Bata kameza boga basi walimwengu hamshikiki...
Ok wanasema
ya Mungu mengi
Ya kuku mayai
Ya walimwengu maneno..,
So nyie payukeni weee lakini usiku mtalala

Ha!ha!ha!ha!ha!aaaa.....maneno meeeeeeengi, misemo kibao......kubali bana mmenyukwa......!kwi!kwi!kwi!kwiiiiiii
 
Hahaha! Wapwa Fidel na Masanilo walimalizia hasira zao kwenye Ndovu na heinneken ya mtungi! Lol! Mnyama bana!
Ila nilimuonya Masanilo toka Ijumaa kuwa haisende uwanjani maana ataenda kuvuna fedheha mbele ya wanaJF kama vile Pretty na wengineo ambao walikuwa na jezi nyekundu za kutosha. Ila nasikia baada ya game Masanilo alipanda ndege kuelekea Zanzibar kujipoza machungu ya kichapo. Sasa sijui kama Bibie naye ni kada wa timu gani?
 
Back
Top Bottom