Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Timu ndiyo zinapasha pasha..mashabiki wa yanga wanaonekana kujiamini zaidi

3338_402.jpg
 
kwajinsi uwanja ulivyo fulika kweli inaonyesha Simba na Yanga ndiyo kipenzi cha wapenda mpira wa miguu hapa Tanzania
 
thanks wakuu natumai tutaendelea kupata update toka kwenu
 
Yah! Mashabiki wa Kandambili wana Mzuka sana, Ngoja tungojee dakika tisini za Mchezo. Kila la Kheri
 
Simba tunanyimwa penati ya wazi dakika ya 2. Huyu refa MBAGA anaibeba Yanga
 
Dakika ya 6 Simba tunayimwa Penati ya Pili. Huyu Mbaga kanda2
 
Kwa kweli Refa anatupunguza Spidi bana Ah
 
Simba acheni kulialia bwana,cha msingi tusubiri dakika 90 tu..Mnalia sana
 
Yanga wanacheza defensive sana. Wamerudi nyuma wote! na wamepaki na bus lao (team coach ) golini!
 
Hahaha,

Simba kama Chelsea vile... Ushindi LAZIMA.

Si mchezo

Tehe tehe..mechi ya leo haitabiriki mkuu,mi nasubiri dk 90 tu...Btw unaiangalia mechi ya Arsenal na Spurs???,Spurs wamepigwa goli 2 ndani ya dk 1(dk ya 43)...lol
 
Back
Top Bottom