Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Halafu huyu Stricker wa West Ham united vipi, makeke yake bado sijayaona
 
Ma Mdogo,

Kwenye suala la soka rangi zangu ziko wazi kabisa!

Blue na nyeupe (nje ya Tanzania) - Chelsea & Real Madrid

Nyekundu na nyeupe (ndani ya Tanzania) - Wekundu wa Msimbazi.

Ah, soka letu soka la Bongo michosho, tunabaki kushabikia walau hata majina ya klabu zetu. Walau Simba wanacheza soka lililoenda shule kiasi 🙂

hahahaaaaaaaaa.................mdau tupo pamoja exactrrrrrryyy!!
 
Huyu fundi bomba (Papic) wa Yanga amesha run out of ideas!
 
hahahaaaaaaaaa.................mdau tupo pamoja exactrrrrrryyy!!

Mdau Unageuka? wewe si Kandambili au. Mpaka dakika tisini zinaisha Tutakuwa tumeshasilimisha kandambili wote. Ha ha haaa
 
mbona mnawabania washabiki wa Yanga, angalia wasitucheke mwisho........hahahahahaaa!!!!!!!!!!
 
Mdau Unageuka? wewe si Kandambili au. Mpaka dakika tisini zinaisha Tutakuwa tumeshasilimisha kandambili wote. Ha ha haaa

mkuunilikua najaribu kuact kidogo ili waje jamvini, lakini wamegoma!!!
 
Ila wakipata Kagoli hapa Jamvini hapata kalika
 
eti jamani, kuna anayefahamu mshahara wa makocha wa hizi timu mbili?
 
watavamia jamvi nomaa,server itazidiwa...
 
Haya kandambili wanatengezewa ushindi, mrwanda out
 
Duh,

Danny Mrwanda kapewa kadi nyekundu. Nadhani kampaka refa, hakuwa na kadi ya njano awali
 
huyo refa vipi?? anabana penalt? hakuna mwenye manati hapo?????
 
Ila wakipata Kagoli hapa Jamvini hapata kalika

Yeboyebo ni waoga vibaya hawataki kufaatilia live kwa sababu wanajua yatakayowapata. Fuatilia tambo zao kwenye thread ya Simba special: Fidel80, Gan Chomba, Bishanga na wenzao hawataki kabisa kutokeza hapa tusikie kelele zao.
 
msimtukane sana,tatizo ganja tu....
 
Back
Top Bottom