Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Yanga wamepata nafasi wakashindwa kuitumia

MPIRA UMEKWISHA!

Simba 1 - Yanga 0
 
ehhhh kidedea...pyipyipiiiiiii ehhhhh kidedea.....pyi pyi pyiiiiiiiii ehhhhhh kidedea...

Mechi 10 point 30 !! anibilivabo.....teh teh teh teh...
 
Yanga wamepata nafasi wakashindwa kuitumia

MPIRA UMEKWISHA!

Simba 1 - Yanga 0

Pamoja na kubebwa kote imeshindikana duh.
Invisible hebu pekuapekua kwenye makabrsha yako utuwekee clip ya wimbo wa twanga pepeta wa Banzastone, auungurumapo simba
 
They have quality, they play with passion, they have techniques, they have tactics. Hao ni Simba
 
Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hongereni Simba, Yanga iliharibika toka ilipomuondoa kichwa Francis Kifukwe.
 
Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Dah.....Kazi kwelikweli...Au ndo mambo ya "Simba imeshinda kutoka na Sera Nzuri za CCM katika michezo"(Joking)
 
Game play 10, draw 0, Loose 0, points 30 teh teh teh kweli Anibilivable nimekupata mkuu Mafuluto
 
Dah.....Kazi kwelikweli...Au ndo mambo ya "Simba imeshinda kutoka na Sera Nzuri za CCM katika michezo"(Joking)

shhhhhhh... kuna jamaa anaitwa gangchoma tumsubiri aje kuachia ushuzi baada ya kufungwa
 
...hawa Simba kidedea!, ...eeeeeeee kidedea!!! 😀😀😀

the following users say thanks to mbu!!!

MTM, MTN, MTM, MTM, MTM, MTM

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Oden Mbaga arudishe walau chenji basi kwa Manji. Mjinga sana huyu Mbaga uktaka kuwabeba kanda2 wape penati au goli la offside. Simba hata wakiwa 7 uwanjani hawafungwi na Yanga.

Ama kweli kunguru hafugiki!
 
ehhhh kidedea...pyipyipiiiiiii ehhhhh kidedea.....pyi pyi pyiiiiiiiii ehhhhhh kidedea...

Mechi 10 point 30 !! anibilivabo.....teh teh teh teh...

huu Mnyama lazima aweke rekodi ya dunia kwa kumaliza ligi kwa kushinda michezo yote.
Mwimbishaji;
Iyoooo eheeeeh, iyo mwenye wivu
Kiitikio;
mwenye wivu ajinyonge
Mwongozaji
Chambua kandambili kama karanga
Kiitikio
chambua kama karanga....
 
Back
Top Bottom