Simba na Yanga waijaza Mbeya kuelekea kumaliza msimu 2021/2022

Simba na Yanga waijaza Mbeya kuelekea kumaliza msimu 2021/2022

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Naona jiji la Mbeya hatimaye limefunikwa na timu za kariakoo.

Yanga ambao tayar wapo jijin hapa mapema zaidi wakipekowa na mkuu wa mkoa ambaye anajinasibu kuwa ni mwananchi wa Jangwani.

Simba nao tayar wameingia jijini leo hii.

Yanga wakienda kukipiga na mbeya city jumamosi huku wakikabidhiwa ubingwa wao wa NBC waliojihakikishia wiki kadhaa nyuma baada ya kumfunga Coast union.

Mgeni rasmi anaweza kuwa mmoja wa mawaziri , CEO wa NBC atakuwepo pia na maafisa waandamizi wa benki hiyo.

Simba wao watakuwa na Prison siku ya jumapili wakikamilisha tu michezo ya ligi iliyobakia.

Mashabiki kutoka mikoa jirani wameanza kumiminika jijini hapa.

Changamoto za miundombinu ni nyingi sana, lakin haizuii watu kuwa na shangwe.

Tunawatakua michezo salama kwa timu zote. Bila shaka usalama utakuwa wakutosha ili mashabiki wasikumbee na maswahiba yasiyofaa.

Huku hakuna restriction kama za kule Qatar world cup. Ni wewe tu. Ila wajue huku maambukizi bado ni makubwa.
 
Timu ya Wananchi
 

Attachments

  • FVUahd-XsAAgT_f.jpeg
    FVUahd-XsAAgT_f.jpeg
    68.6 KB · Views: 6
"Changamoto za kimiundombinu ni nyingi sana"... Halafu hutaji hata moja!
 
"Changamoto za kimiundombinu ni nyingi sana"... Halafu hutaji hata moja!

Kwani wewe unadhani inaweza kuwa miundombinu gani?

Unakumbuka tulishawahi kuwa na waziri wa ujenzi na miundombinu?

Sijaona sababu ya kutaja kila kitu ndiyo maana nikatumia neno moja.
 
Back
Top Bottom