Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024

Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.

Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora mwaka 2024 kwa upande wa wanaume

Klabu hizi zimekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya kimataifa na ndani ya nchi, zikionyesha ubora wao katika soka la Afrika.
IMG_0329.jpeg
Club of the Year (Men) - Nominees

Petro Luanda 🇦🇴
TP Mazembe 🇨🇩
Al Ahly 🇪🇬
Zamalek 🇪🇬
Dreams FC 🇬🇭
RS Berkane 🇲🇦
Mamelodi Sundowns 🇿🇦
Simba SC 🇹🇿
Yanga SC 🇹🇿
Esperance de Tunis 🇲🇦

Tuchambue hapa bila unazi nani atafika mbali kwenye Tuzo hizi?
 
Yanga wanaweka ya nini wakati wanatolewa makundi..takxtakx hii timu ..kule hakuna refa kushinda,timu ndio inatakiwa ishinde..wanadhani makundi kuna kayoko
 
Back
Top Bottom