Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Simba ilishajifia, hiyo Dreams FC ndo nini hicho.Unataka kusemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ilishajifia, hiyo Dreams FC ndo nini hicho.Unataka kusemaje?
Wenye akili huko ni wawili tuKwani unajua vigezo lakini ?
Simba sasa kafanya nnWakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.
Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora mwaka 2024 kwa upande wa wanaume
Klabu hizi zimekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya kimataifa na ndani ya nchi, zikionyesha ubora wao katika soka la Afrika.
Club of the Year (Men) - Nominees
Petro Luanda 🇦🇴
TP Mazembe 🇨🇩
Al Ahly 🇪🇬
Zamalek 🇪🇬
Dreams FC 🇬🇭
RS Berkane 🇲🇦
Mamelodi Sundowns 🇿🇦
Simba SC 🇹🇿
Yanga SC 🇹🇿
Esperance de Tunis 🇲🇦
Tuchambue hapa bila unazi nani atafika mbali kwenye Tuzo hizi?
Kwangu mimi siwezi kuiita hiyo ni timu bora.Ili iwe bora iwe na consistency ya misimu kadhaa huko CAFCL na CAFCC.Ni stahiki ya Yanga kwani imetoka matopeni na sasa ghafla inaketi na wakuu
Itoke matopeni kivipi kwani mashindano ya CAF yameanza lini?, hiyo miaka yote mlikuwa wapi ? au mlikuwa hamruhusiwi kushirikiNi stahiki ya Yanga kwani imetoka matopeni na sasa ghafla inaketi na wakuu
CAF hapo kwa simba wamefanya kama ku balance vile...ila kwenye 5 bora hatokuwepo,Yanga atafika mpk 3 boraWakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.
Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora mwaka 2024 kwa upande wa wanaume
Klabu hizi zimekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya kimataifa na ndani ya nchi, zikionyesha ubora wao katika soka la Afrika.
Club of the Year (Men) - Nominees
Petro Luanda 🇦🇴
TP Mazembe 🇨🇩
Al Ahly 🇪🇬
Zamalek 🇪🇬
Dreams FC 🇬🇭
RS Berkane 🇲🇦
Mamelodi Sundowns 🇿🇦
Simba SC 🇹🇿
Yanga SC 🇹🇿
Esperance de Tunis 🇲🇦
Tuchambue hapa bila unazi nani atafika mbali kwenye Tuzo hizi?
Kwani unajua vigezo vya kuwekwa hapo ?CAF hapo kwa simba wamefanya kama ku balance vile...ila kwenye 5 bora hatokuwepo,Yanga atafika mpk 3 bora
Kuna timu hapo imewekwa tu kupunguza hasira za wazee wasiitishe press, but kiuhalisia aikustahili kuwepo hapo🤣🤣Wakuu vilabu vyetu vinaubonda mwingi Afrika!.
Klabu za soka za Simba na Yanga za Tanzania, zimetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha ya klabu 10 zinazowania tuzo ya Klabu Bora mwaka 2024 kwa upande wa wanaume
Klabu hizi zimekuwa na mafanikio makubwa katika mashindano ya kimataifa na ndani ya nchi, zikionyesha ubora wao katika soka la Afrika.
Club of the Year (Men) - Nominees
Petro Luanda 🇦🇴
TP Mazembe 🇨🇩
Al Ahly 🇪🇬
Zamalek 🇪🇬
Dreams FC 🇬🇭
RS Berkane 🇲🇦
Mamelodi Sundowns 🇿🇦
Simba SC 🇹🇿
Yanga SC 🇹🇿
Esperance de Tunis 🇲🇦
Tuchambue hapa bila unazi nani atafika mbali kwenye Tuzo hizi?
Mkuu , ukizeeka utakuja kuwa mchawi . Maana siyo kwa wivu huu.Kuna timu hapo imewekwa tu kupunguza hasira za wazee wasiitishe press, but kiuhalisia aikustahili kuwepo hapo[emoji1787][emoji1787]