Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Simba na Dreams dah.Simba SC na Yanga SC, timu mbili maarufu kutoka Tanzania, zimetajwa kuwa miongoni mwa klabu zinazowania tuzo ya 'Klabu ya Mwaka (Wanaume)' kwenye Tuzo za CAF mwaka huu...
😂😂 kwanini mkuu?Hapo simba imewekwa geresha tu
Sawa Mwananchi kila la heri 🎖️Ni ya kwetu yanga iyo tuzo tunabeba
Unataka kusemaje?Simba na Dreams dar.
Ni stahiki ya Yanga kwani imetoka matopeni na sasa ghafla inaketi na wakuu😂😂 kwanini mkuu?
Mbele ya waarabuNi ya kwetu yanga iyo tuzo tunabeba
Ni wivu tuuhHapo simba imewekwa geresha tu
Uko vizuriHapo mshindi wa jumla ni Al Ahly tu. Ila kama wangeweka pia na kwa upande wa Kanda, basi kwa Afrika ya Mashariki; Yanga ni Baba lao.
Kwani unajua vigezo lakini ?Hapo simba imewekwa geresha tu
😂 Umemaliza. Hakuna haja ya uchambuziSimba haina,mpinzani ukanda huu wa CECAFA..
Kama hamtaki mniuweeee
Anyooshe maelezo huyuKwani unajua vigezo lakini ?