Simba na Yanga zang’ara kwenye Tuzo za CAF, Zawania Klabu Bora ya Mwaka 2024

Simba hii hii ambayo ndio kwanza inajenga timu?

Mwaka 2024 au 2023 ilikuwa na ubora gani?
 
Mynyama anatisha sana...
Anaweza kukuuma na usisikie maumivu, na ukafa huku ukijiona upo hai...!!

#Ssc4Life
 
Simba sasa kafanya nn
 
Ni stahiki ya Yanga kwani imetoka matopeni na sasa ghafla inaketi na wakuu
Kwangu mimi siwezi kuiita hiyo ni timu bora.Ili iwe bora iwe na consistency ya misimu kadhaa huko CAFCL na CAFCC.

Mambo ya kuwa kama Leicester unawika ghafla mwaka mmoja halafu misimu 2 mbele unapoteana unaanzaje kuitwa Klabu Bora?
 
Sasa hapa ilipaswa sisi wote yanga na simba tukae meza moja tujipongeze kwanza..tuache ushabiki najua hakuna mmoja wetu atashinda ila kitendo cha kuingia 10 bora tugonganishe glass!!
 
Ni stahiki ya Yanga kwani imetoka matopeni na sasa ghafla inaketi na wakuu
Itoke matopeni kivipi kwani mashindano ya CAF yameanza lini?, hiyo miaka yote mlikuwa wapi ? au mlikuwa hamruhusiwi kushiriki
 
CAF hapo kwa simba wamefanya kama ku balance vile...ila kwenye 5 bora hatokuwepo,Yanga atafika mpk 3 bora
 
Kuna timu hapo imewekwa tu kupunguza hasira za wazee wasiitishe press, but kiuhalisia aikustahili kuwepo hapo🤣🤣
 
Kuna timu hapo imewekwa tu kupunguza hasira za wazee wasiitishe press, but kiuhalisia aikustahili kuwepo hapo[emoji1787][emoji1787]
Mkuu , ukizeeka utakuja kuwa mchawi . Maana siyo kwa wivu huu.
 
Hapo anabeba Zamalek, simba na yanga zilishia robo zibebe nn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…