Ni ujinga ule ule wa miaka yote kupiga kelele kuhusu simba na yanga kila siku. ni ujinga kweli kweli. so zikifutwa ndo inakuaje? unatumia akili kweli wewe? unafahama kuwasimba na yanga zisipokuwepo na soka la tanzania ndo linakosa msisimko? au huelewe hata ukinenda hispania kuna barcelona na real madrid? usiongeee kama umetoka kunywa pombe halafu asubuh ukashushia na bhangi. baada ya kuwaza sana umeona hilo ndo suluhisho? ok zifutwe kwa vigezo vipi? haya ndo matatizo ya kutumia viloba na bhangi. badala ya kusema nini kifanyike kuboresha wewe unasema zifutwe. ungekuwa daktari wewe angekuja mtu ana kidonda mkononi ungesema mkono wa huyo mtu ukatwe tu.
una stress za maisha then unadhan kufutwa simba na yanga itakupunguzia stress au i ule umbumbu wa watanzania wengi wanadhan wachaw wao ni simba na yanga. azam is there now kama superpower team imefanya nini sana kimataifa? maana mnapoizungumzia azam hebu sasa semeni pia kimataifa imefikia hatua flan...otherwise ni hadith za kitoto za kila siku kuhusu simba na yanga na tumezichoka kwa kweli.
kushindwa kwenu kwa maisha hakutokani na simba na yanga kama mpira wa miguu unakupa shida kuna michezo mingine ming kama bao,karata, mbio za mitumbwi n.k