Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Unapochambua jambo chezesha akili kidogo usicheze kope. uwanja wa azam wameupata vipi? nambie ni uwanja wa nani?
azam wamejenga uwanja kwa kuwa MMILIKI ANA PESA ANGEWEZA KUJENGA HATA HOTEL AU AIRPORT AKITAKA.
Tunataka azam wafanye mambo kutokana na pesa wanazopata kunyakua vikombe, kushiriki makombe ya ndani na nje. hizi habari za azam imejenga uwanja mapema..... hebu nambie hizi simba na yanga zinafaidika na pesa gani kutokana na ligi pasipo wafadhiri? mshindi wa ligi anapata tsh ngapi?
Gharama za team kwa mwka tsh ngapi? mishahara n.k haya ndo mambo ya maana ya kujiuliza na si kuja hapa unahema kuwa azam wana kiwanja.