Simba na Yanga zijifunze kwa Azam

Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Sisi mashabiki wa Simba tunaona fahari kuchangia viingilio ili tuchangie mapato ya timu yetu.
Kuna timu iligawa tiketi elfu 10 watu waingie mechi yake ya kimataifa na bado zikasusiwa.
Mashabiki wanavutwa na matokeo mazuri uwanjani na siyo ofa za kuingia bure.
 
Inapandeza sana #ReadyToColor Tanzania.
 
Walewale tuu.
 
Yaani mi na akili zangu nishabikie azam????si bora nishabikie KMC..by the way naipenda simba na kmc
 
Yaani mi na akili zangu nishabikie azam????si bora nishabikie KMC..by the way naipenda simba na kmc
Huwezi kuipenda Azam sababu imet*mba
 
...Sasa hivi Azam wamekuja na mbinu, ukiwa na jezi tu unaingia uwanjani bure kabisa.
.... Acheni kutegemea makusanyo ya getini Simba na Yanga, siku moja moja tumieni ubunifu wa Azam, mwenye jezi aingie bure.
Kwa akili yako, bei ya jezi moja msimu mzima inaingiza hela nyingi kuliko bei hata ya elfu tatu tatu kwa michezo yote ya nyumbani? Yaani uingie kuiona Simba katika michezo 15 ya NBCPL na takribani mitano ya CAF CL kwa sh. 35,000/= tu? Utakuwa haujafikiria vizuri, na kama hapo kwako ndio umefikiria vizuri, basi kuna hitilafu mahali
 
Wewe ndo kilaza huoni anachokivutia indirect watu wanunue jersey
Sasa jezi sh. ngapi mzee, hivi umekaa ukaandika na uzi kabisa? Ungeficha ujinga wako. Yaani mtu anasafiri kutoka Ghana kuja kuiona Simba, halafu aingie kwa jezi? 😀😀 😀
 
Ulaya wakishatoka uko kwenge gate collection ndo maana wakati wa corona walicheza
ulaya unaweza kata tiket za msimu mzima

hata huku tunacheza maana miaka ya nyuma kuna timu zilikuwa zinapata hadi buku jero.
 
Yanga na Simba hawawezi kujifunza Kwa timu ambayo haina hata mashabiki 100.......wao wanafanya hivyo kwasababu wanapambana kupata watu na kama Azam wanacheza bila hizo offers hawawezi kupata mashabiki
Hii kitu inanichefua sana r na l? Natamani nikupe za uso aisee
 
Hujui mpira umeongea maujinga ujinga
 
Simba na Yanga tayari wanafan base ya kutosha hawahitaji kufanya kama Azam.
Hiyo market strategy itafanyakazi kwa Azam kwa sababu Haina washabiki wengi na ni ni strategy nzuri kwao.
 
Simba na Yanga tayari wanafan base ya kutosha hawahitani kufanya kama Azam.
Hiyo market strategy itafanyakazi kwa Azam kwa sababu Haina washabiki wengi na ni ni strategy nzuri kwao.
Best comment ever hii nitaiwekea LAMINATION
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…