Simba na Yanga zijifunze kwa Azam

Simba na Yanga zijifunze kwa Azam

Habari za muda huu ndugu zangu,

Nmekuja hapa mbele zenu kama shabiki lia lia wa Azam FC. Hii timu naipenda, inaongozwa kisomi sana, na haina uswahili wa kijinga japo kidogo imeegemea kwenye udini sababu wafanyakazi wengi ni.... .


Tuje kwenye mada, naomba Simba na Yanga zijifunze utamaduni wa Azam kutotegemea makusanyo ya getini. Sasa hivi Azam wamekuja na mbinu, ukiwa na jezi tu unaingia uwanjani bure kabisa.

Najua ata mashabiki wa Simba na Yanga watanunua kujionea soka safi, nani asiyependa kumuona Kipre Jr?

Lazima mtanunua jezi, mtakuja Chamanzi na kidogo mtakuwa 'Azam fans by assimilation'.

Acheni kutegemea makusanyo ya getini Simba na Yanga, siku moja moja tumieni ubunifu wa Azam, mwenye jezi aingie bure.

View attachment 2411108
Yanga na Simba waige Upumbavu wa kupenda vya bure? Kuna vitu vya kuiga lakini siyo hicho.
 
Kwa hiyo we umeona hilo la kuingiza watu bule uwanjani ndo la kujifunza!! Hao azam hawana mashabiki ndo mana,, lakini laiti kama wangekuwa na mashabiki wengi kama simba sports club wawakilishi wa kweli wa kimataifa nchi hii wasingefanya hivyo.
Aisha habari ndugu yangu
 
Ulitaka kusema hilo la dini tu, hayo mengine ni mapambo tu, sawa wamekusikia watakwenda wasio na dini
 
Back
Top Bottom