Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mbona unabadilisha mjadala? Inter Milan na AC Milan unavijua viwanja vyao?Jengeni ata viwanja basi mchangishe mashabiki mbona mnatia aibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unabadilisha mjadala? Inter Milan na AC Milan unavijua viwanja vyao?Jengeni ata viwanja basi mchangishe mashabiki mbona mnatia aibu sana
Nahawata pata hata 200 labda miaka 20 ijayoYanga na Simba hawawezi kujifunza Kwa timu ambayo haina hata mashabiki 100.......wao wanafanya hivyo kwasababu wanapambana kupata watu na kama Azam wanacheza bila hizo offers hawawezi kupata mashabiki
Yanga na Simba waige Upumbavu wa kupenda vya bure? Kuna vitu vya kuiga lakini siyo hicho.Habari za muda huu ndugu zangu,
Nmekuja hapa mbele zenu kama shabiki lia lia wa Azam FC. Hii timu naipenda, inaongozwa kisomi sana, na haina uswahili wa kijinga japo kidogo imeegemea kwenye udini sababu wafanyakazi wengi ni.... .
Tuje kwenye mada, naomba Simba na Yanga zijifunze utamaduni wa Azam kutotegemea makusanyo ya getini. Sasa hivi Azam wamekuja na mbinu, ukiwa na jezi tu unaingia uwanjani bure kabisa.
Najua ata mashabiki wa Simba na Yanga watanunua kujionea soka safi, nani asiyependa kumuona Kipre Jr?
Lazima mtanunua jezi, mtakuja Chamanzi na kidogo mtakuwa 'Azam fans by assimilation'.
Acheni kutegemea makusanyo ya getini Simba na Yanga, siku moja moja tumieni ubunifu wa Azam, mwenye jezi aingie bure.
View attachment 2411108
Naamini kabisa hauwezi kuonyesha hoja yako ilipoHujui mpira umeongea maujinga ujinga
Aisha habari ndugu yanguKwa hiyo we umeona hilo la kuingiza watu bule uwanjani ndo la kujifunza!! Hao azam hawana mashabiki ndo mana,, lakini laiti kama wangekuwa na mashabiki wengi kama simba sports club wawakilishi wa kweli wa kimataifa nchi hii wasingefanya hivyo.
Kuwa na adabu, I'd fake isiwe sababu kisa tu hatufahamiani, wengine humu utakuta ni baba zako,,Aisha habari ndugu yangu
Huwezi kuipenda Azam sababu imet*mba
Azam wapo kutafuta mashabiki wa Timu Yao . Simba na yanga wana mashabikiYaani washabiki kuingia bule uwanjani ndio unaita ubunifu... Azam ni vilaza kama vilaza wengine tu
SahihiAzam hawana mashabiki wengi wa kulipa kiingilia.