Ukiachana na ushabiki wenu wa mpira wa simba na yanga, ukachimba zaidi utaibuka na mambo mapana sana juu ya uanzishwaji wa timu hizi mbili,
Lengo kuu la Nyerere na Karume kuanzisha timu hizi mbili ilikuwa kuwaburudisha watu ingawa nyuma ya pazia lengo jingine nikuwapumbaza watu waachane na mambo ya siasa!
Chimbuko la kuanzishwa timu hizi mbili lina mlengo mpana wa kiusalama na pamoja na ukuaji wa uchumi wa nchi kwa kupata taarifa mbalimbali za kiuchumi kutoka katika mataifa mbalimbali kwa mtindo wa ushushu wa kisiasa na uchumi.
Pamoja na kiini macho cha sheria za TFF kuzuia kiongozi wa mpira kuwa na mlengo wa kisiasa lakini mtakubaliana na mimi kwamba viongozi wa timu hizi mbili wapo strategic ili kutumika kama REGULATOR wa joto la siasa linapopanda!.
KUPANDA NA KUSHUKA
ukitaka kujua haya, ebu chunguza utaona timu hizo mbili zinatabia zifuatazo;
CC. simbaukawaDCjerrymurro

- Timu ikiwa nzuri kocha lazima awe mbovu,
- Kocha akiwa mzuri basi timu itakua mbovu,
- Ukiingiza mlengo wa siasa kwenye hizi timu za simba na yanga siku zako zitahesabika.
- Viongozi na wasemaji wa timu hizi wengi ni mapandikizi ndiyo maana wengine huteuliwa uongozi selikalini,
- Timu hizi hazina viwanja vya maana vya mpira ,
- Matajiri na wadhamini wa hizi timu mbili simba na yanga wapo kimkakati yaani mmoja yuko simba mwingine yanga purposely!
- Aliyetunga wimbo wa "Naipenda ***** mshabiki wa damu" ililazimika aimbe zote simba na yanga purposely!
- Nafasi pekee kwa washabiki wa kweli ni bench la ufundi.
CC. simbaukawaDCjerrymurro