Simba na Yanga ziliwekwa kimkakati kwa usalama kwa maslahi ya Taifa

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Ukiachana na ushabiki wenu wa mpira wa simba na yanga, ukachimba zaidi utaibuka na mambo mapana sana juu ya uanzishwaji wa timu hizi mbili,

Lengo kuu la Nyerere na Karume kuanzisha timu hizi mbili ilikuwa kuwaburudisha watu ingawa nyuma ya pazia lengo jingine nikuwapumbaza watu waachane na mambo ya siasa!

Chimbuko la kuanzishwa timu hizi mbili lina mlengo mpana wa kiusalama na pamoja na ukuaji wa uchumi wa nchi kwa kupata taarifa mbalimbali za kiuchumi kutoka katika mataifa mbalimbali kwa mtindo wa ushushu wa kisiasa na uchumi.

Pamoja na kiini macho cha sheria za TFF kuzuia kiongozi wa mpira kuwa na mlengo wa kisiasa lakini mtakubaliana na mimi kwamba viongozi wa timu hizi mbili wapo strategic ili kutumika kama REGULATOR wa joto la siasa linapopanda!.

KUPANDA NA KUSHUKA
ukitaka kujua haya, ebu chunguza utaona timu hizo mbili zinatabia zifuatazo;
  • Timu ikiwa nzuri kocha lazima awe mbovu,
  • Kocha akiwa mzuri basi timu itakua mbovu,
  • Ukiingiza mlengo wa siasa kwenye hizi timu za simba na yanga siku zako zitahesabika.
  • Viongozi na wasemaji wa timu hizi wengi ni mapandikizi ndiyo maana wengine huteuliwa uongozi selikalini,
  • Timu hizi hazina viwanja vya maana vya mpira ,
  • Matajiri na wadhamini wa hizi timu mbili simba na yanga wapo kimkakati yaani mmoja yuko simba mwingine yanga purposely!
  • Aliyetunga wimbo wa "Naipenda ***** mshabiki wa damu" ililazimika aimbe zote simba na yanga purposely!
  • Nafasi pekee kwa washabiki wa kweli ni bench la ufundi.
Kwahiyo kabla hujaweka mahaba niue kwenye hizi timu mbili ni vyema ukayafahamu haya mambo.
CC. simbaukawaDCjerrymurro
 
Simba na Yanga zimeanzishwa kabla Nyerere na Karume hawajaanza harakati za kisiasa, miaka 1937,_Nyerere na Karume walikuwa vijana bado tena masomoni, kwamba Simba na Yanga zilianzishwa kuwapumbaza watu waache siasa ni porojo, kila nchi kuna watani wa Jadi, Uingereza, Afrika kusini, Hispania n., timu zao zampumbaza nani?,_Usitumie jukwaa huru kupotosha umma
 
Moja ya sababu ya Nape Nnauye kufutwa Uwaziri ni kushindwa kuzifuta Simba na Yanga kama alivyoamriwa na mamlaka za juu baada ya Mashabiki kung'oa viti uwanja wa Taifa
 
mkuu hili jiwe nimeliona na kulikwepa vizuri kabisa.
 
mambo kama haya hupingwa baada ya kufanyiwa kazi japo kidogo , usikurupuke tu

hahaha ulichokileta jukwaani si utafiti mkuu, kwanini unataka tufanye kazi ndio tukujibu?

timu gani hapa duniani imeshafutwa kisa mashabiki wake kufanya vurugu?
 
Baada ya viti kung'olewa Uwanja wa Taifa iliagizwa Nape atangaze kufuta Simba na Yanga , Nape akamcheki Kinana , Kinana akamcheki JK , JK naye akamcheki mtoa amri , Mtoa amri naye akamrudia kumkoromea Nape kwamba akipewa amri kinachotakiwa ni utekelezaji badala ya kutafuta wapambe , uwanja ule ukafungiwa kutumiwa na simba na yanga kwa muda .

Nimekupa taarifa ya ndani sana ambayo huwezi kuipata bila kushughulika , Najua kwamba Nape aliondolewa kwa kumgusa Makonda na uharamia wake , lakini hili la simba na yanga ni moja ya sababu za Nape kuondolewa , hifadhi andiko langu
 
Dah Kama ulichoandika ni kweli basi tuna uongozi mbovu sana
 
kumbuka hapo sijakueleza alichozungumza Nape wala alichozungumza JK wala alichosema Kinana (Na wala sitakueleza ) , lakini kama ungepata maneno yao basi ni dhahiri ungeelewa kwamba Malipo ni hapahapa duniani
 
kumbuka hapo sijakueleza alichozungumza Nape wala alichozungumza JK ( Na wala sitakueleza ) , lakini kama ungepata maneno yao basi ni dhahiri ungeelewa kwamba Malipo ni hapahapa duniani

Haha tell me wewe ni nani?

maana hizi mambo kuzijua lazima utakua katibu mkuu wizara fulani au waziri fulani
 
wengi watabisha, ila ukweli ndio huo, nyuma ya simba na yanga ni TISS.
 
Ukiachana na ushabiki wenu wa mpira wa simba na yanga, ukachimba zaidi utaibuka na mambo mapana sana juu ya uanzishwaji wa timu hizi mbili,

Lengo kuu la Nyerere na Karume kuanzisha timu hizi mbili ilikuwa kuwaburudisha watu ingawa nyuma ya pazia lengo jingine nikuwapumbaza watu waachane na mambo ya siasa!

Chimbuko la kuanzishwa timu hizi mbili lina mlengo mpana wa kiusalama na pamoja na ukuaji wa uchumi wa nchi kwa kupata taarifa mbalimbali za kiuchumi kutoka katika mataifa mbalimbali kwa mtindo wa ushushu wa kisiasa na uchumi.

Pamoja na kiini macho cha sheria za TFF kuzuia kiongozi wa mpira kuwa na mlengo wa kisiasa lakini mtakubaliana na mimi kwamba viongozi wa timu hizi mbili wapo strategic ili kutumika kama REGULATOR wa joto la siasa linapopanda!.

KUPANDA NA KUSHUKA
ukitaka kujua haya, ebu chunguza utaona timu hizo mbili zinatabia zifuatazo;
  • Timu ikiwa nzuri kocha lazima awe mbovu,
  • Kocha akiwa mzuri basi timu itakua mbovu,
  • Ukiingiza mlengo wa siasa kwenye hizi timu za simba na yanga siku zako zitahesabika.
  • Viongozi na wasemaji wa timu hizi wengi ni mapandikizi ndiyo maana wengine huteuliwa uongozi selikalini,
  • Timu hizi hazina viwanja vya maana vya mpira ,
  • Matajiri na wadhamini wa hizi timu mbili simba na yanga wapo kimkakati yaani mmoja yuko simba mwingine yanga purposely!
  • Aliyetunga wimbo wa "Naipenda ***** mshabiki wa damu" ililazimika aimbe zote simba na yanga purposely!
  • Nafasi pekee kwa washabiki wa kweli ni bench la ufundi.
Kwahiyo kabla hujaweka mahaba niue kwenye hizi timu mbili ni vyema ukayafahamu haya mambo.
Mbona hizi team hazikuanzishwa na hao watu sasa.
Au kuna nyerere na karume mwingine ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kitu hakuna ulazima wa kuzungumza, kwani ni lazima upost?? Kuna zawadi ya kupost humu?? Acha ujuaji. Eti Karume na Nyerere walianzisha Simba na Yanga!!!!!
 
Back
Top Bottom