- Thread starter
- #21
Unaelewa unacho ongea?Mafanikio ya kwenye pitch SI Yana akisi mafanikio nje ya pitch? Huoni wananchi wanavyo ng'ara kwenye pitch?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa unacho ongea?Mafanikio ya kwenye pitch SI Yana akisi mafanikio nje ya pitch? Huoni wananchi wanavyo ng'ara kwenye pitch?
Unaifanaisha Tottenham na Simba/Yanga ? Haupo serios kabsa Tottenham wamewahi kufika fainali ya Uefa je Simba na yanga wamewah kufika fainali ya Cafcl ? Na pia Tottenham sio Giant huko England ni ipo level sawa na Kama Singida united tu kwa huku Tz.😂Si tuona kimataifa Nini...unaweza ukawa na liwanja likubwa Kama la Tottenham ila hamna kazi
Siku hersi akijikita kwenye kuhakikisha yanga inakuwa na miundo mbinu yake ya viwanja na hosteli za kisasa ndio ambayo nitamuona yupo serious na maendeleo ya yanga.Ifikie wakati hivi vilabu viachwe kutumika kama madaraja ya watu wachache kujinufaisha kisiasa na pia kiuchumi.
Viongozi wa hivi vilabu wanatakiwa wajikite pia kwenye kutekeleza ahadi zao za kuimarisha miundombinu ikiwemo ya viwanja, hosteli za wachezaji, nk. na siyo kwenye vikombe tu.
Sawa sankaraMlishaambiwa hizi timu zilianzishwa kwa mina ajil ya siasa kama we una plan zako za maendeleo anzisha yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama huwezi kuanzisha timu yako basi waige MO na GSM, njo tuendelee kula mchuzi nyama ziko chini [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila mipango ya wazi itakayokuwa kuwa documented na kila raisi akaifata, viongozi wakapimwa kwa utekelezaji wa mipango hiyo na sio ahadi zao, mambo yatakuwa ya hatua mbili mbele tatu nyumaSiku hersi akijikita kwenye kuhakikisha yanga inakuwa na miundo mbinu yake ya viwanja na hosteli za kisasa ndio ambayo nitamuona yupo serious na maendeleo ya yanga.
Nilishangazwa kuskia eti anaomba aongezewe eneo ili ajenge uwanja ilhali timu viwanja vya mazoezi tu! inakodisha
Yaani anataka kujenga uwanja wa watu elfu thelathini wakati timu hata uwanja wa mazoezi haina! Binafsi naona kama anaruka steps na hili lilifanya nimuweke kwenye wapiga porojo km walivyokuwa wakina madega na nchunga wenyeviti wa zamani wa yanga ambao nao walikuwa na ahadi hizi hizi za viwanja na hawakufanikiwa.
Eneo lipo tayari kigamboni ila kila siku siasa tu!
Na siku kampuni ya gsm ikipata changamoto za kiuchumi yanga itarudi kule kule kwenye kuomba omba.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wenye timu wenyewe ni mazuzu bora liende tuBila mipango ya wazi itakayokuwa kuwa documented na kila raisi akaifata, viongozi wakapimwa kwa utekelezaji wa mipango hiyo na sio ahadi zao, mambo yatakuwa ya hatua mbili mbele tatu nyuma