Simba na Yanga zinaionea wivu Singida Big Star

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,033
Tarehe 04.08.2022 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya Singida big star, katika siku hiyo ilicheza mchezo wa kirafiki na timu toka Zambia - Zanaco Fc.

Baada ya siku hiyo kumezuka maneno na vijembe vinavyorishwa na washabiki wa timu pinzani za Simba na Yanga ambao wanaona timu hiyo inaweza kuwa tishio katika vilabu vyao na kuchukua nafasi za juu za ligi.

Tishio kubwa kwa timu za Simba na Yanga ni kikosi kilichotangazwa jana ambacho kimesheheni wachezaji wenye majina makubwa nchini wakiwemo wachezaji wa kigeni wapya na wale waliokuwa wakicheza ligi hapo awali, ambapo hali hii imewatia hofu mashabiki wa timu hizi mbili kongwe nchini kuanza kuzusha mambo mbali mbali yakiwemo ya kumchunguza mdhamini wa timu hiyo anapapata wapi pesa za kuweza kuwekeza kiasi hicho cha kuweza kutengeneza uwanja uliowekewa nyasi bandia, kusajili wachezaji wa kigeni na mambo mengi.

Niwaombe washibiki wa timu hizi kubwa watulie msimuu, watakiona cha moto huku Azam,Singida, na Dodoma jiji tutegemee kuwaona top 4
 
Bongo ndivyo ilivyo, full wivu, husda, chuki, tamaa, na uchawi. Maendeleo = 0.0000%
 
Ivi kweli Kwa timu ya Yanga ilivyo atakama awajaongeza ata mchezaji mmoja mpya wata muonea wivu mchezaji gani wa Singida atakaye penya kwenye kikosi Cha Yanga!! Hii nchi Ina Mashabiki wa mpira wa ajabu sana.
 
Kina Wawa, Kagere, Yasin, Kaseke ni makapi ya Simba na Yanga ndiyo yaonewe wivu? Unapokaa kimya hatuwezi jua ujinga wako
 
Tarehe 04.08.2022 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya Singida big star, katika siku hiyo ilicheza mchezo wa kirafiki na timu toka Zambia - Zanaco Fc.

Baada ya siku hiyo kumezuka maneno na vijembe vinavyorishwa na washabiki wa timu pinzani za Simba na Yanga ambao wanaona timu hiyo inaweza kuwa tishio katika vilabu vyao na kuchukua nafasi za juu za ligi.

Tishio kubwa kwa timu za Simba na Yanga ni kikosi kilichotangazwa jana ambacho kimesheheni wachezaji wenye majina makubwa nchini wakiwemo wachezaji wa kigeni wapya na wale waliokuwa wakicheza ligi hapo awali, ambapo hali hii imewatia hofu mashabiki wa timu hizi mbili kongwe nchini kuanza kuzusha mambo mbali mbali yakiwemo ya kumchunguza mdhamini wa timu hiyo anapapata wapi pesa za kuweza kuwekeza kiasi hicho cha kuweza kutengeneza uwanja uliowekewa nyasi bandia, kusajili wachezaji wa kigeni na mambo mengi.

Niwaombe washibiki wa timu hizi kubwa watulie msimuu, watakiona cha moto huku Azam,Singida, na Dodoma jiji tutegemee kuwaona top 4
Ukiona ufisadi umetamalaki,ujue utopolo watakuwa na hela.

Upo uhusiano mkubwa sana wa wizi wa mali ya umma na kustawi kwa baadhi ya timu na mifano ipo mingi.

Hii Singida ipo kwa sababu shamba la bibi hivi sasa halina mlinzi
 
Back
Top Bottom