Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Tarehe 04.08.2022 ilikuwa ni siku ya maadhimisho ya Singida big star, katika siku hiyo ilicheza mchezo wa kirafiki na timu toka Zambia - Zanaco Fc.
Baada ya siku hiyo kumezuka maneno na vijembe vinavyorishwa na washabiki wa timu pinzani za Simba na Yanga ambao wanaona timu hiyo inaweza kuwa tishio katika vilabu vyao na kuchukua nafasi za juu za ligi.
Tishio kubwa kwa timu za Simba na Yanga ni kikosi kilichotangazwa jana ambacho kimesheheni wachezaji wenye majina makubwa nchini wakiwemo wachezaji wa kigeni wapya na wale waliokuwa wakicheza ligi hapo awali, ambapo hali hii imewatia hofu mashabiki wa timu hizi mbili kongwe nchini kuanza kuzusha mambo mbali mbali yakiwemo ya kumchunguza mdhamini wa timu hiyo anapapata wapi pesa za kuweza kuwekeza kiasi hicho cha kuweza kutengeneza uwanja uliowekewa nyasi bandia, kusajili wachezaji wa kigeni na mambo mengi.
Niwaombe washibiki wa timu hizi kubwa watulie msimuu, watakiona cha moto huku Azam,Singida, na Dodoma jiji tutegemee kuwaona top 4